Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mimi jamaa waliopata deal kubwa wakiwa jela ni wengi nikiandika wataona nawatangaza...Yupo jamaa alipata mchongo akiwa jela Segerea, alifungwa miaka mitatu kwenye story mule gerezani mfungwa mwenzake akamshangaa unakaaje jela kwa asset ambazo anazimiliki halafu issue yake ilikuwa inahitaji pesa tu kuimaliza?
Jamaa alitengezewa formula ya msamaha kutoka tu akaanza na mchongo uleule aliyopewa akiwa jela.
Wananzengo wanashangaa mtu aliyekaa jela kutoka tu yupo kwenye connection ya pesa na wao waliokuwa huru amewakuta wako vilevile au wamezidi kuwa duni.
Kwani unajua anaenda kufanya nini?
I was Porto two years ago (ungeandika kiswahili badala kuchapia Kimalkia).Naam Roman Catholic kwa ureno ni 90%
I was Porto two years ago
Ni vyema ungemuelekeza kile alichouliza kuliko kuandika porojo zisizokuwa na maana.Yaani Ureno au Portugal, ni maskini sana.Hebu nikupe hii stori labda mlikuwa hamjui.
Rai wa kireno walipokuwa wanakuja kwenye makoloni yao kwa ajili ya kufanya biashara za pembe za ndovu,madini, mbao n.k .Walikuwa wanawaowa wanawake wa inchi husika, na ni wazinsi sana, walevi na wapenda starehe.
Walikuwa wanamkakati wa kukiteketeza kizazi cha wenyeji kwa kutumia njia ya kuwazalisha sana.Yaani mlevi wa kireno alikuwa haoni tabu kumkamata mama au binti wa kiafrika na kufanya naye mapenzi popote pale, kukageuka na kuwa na makaradi wengi sana, kuanzia vijijini mpaka mijini.
Sasa wanaume wakajikuta wanafamilia zaidi ya moja, yana Ureno ana mke na watoto, na inchi husika ana mke na watoto, na ni waumini wazuri sana wa kanisa katoliki.Kulipotokea kuporomoka kiuchumu kwa Ureno, zikajikuta zile familia zilizoko Ureno
Kwanini usimuelekeze kile anachohitaji??Ureno kufanya nini ? Kuna fursa gani Huko? Miaka ya karibuni nilikuw jijini Porto nilikaa Siku 5 kwenye semina
Nili observé maisha sio rahisi kwa Hustler,maisha ni magumu alafu vina roho mbaya
Nb
Nina visa ya Schengen naingia nchi zaidi ya 25 without applying a vissa
Bro humu wajuaji wengi sana lakini hajawahi hata kuvuka mkoa aliozaliwa anasikilizaga story za mitandaoni tu.Fursa ni mtu kupata connection huko pana jamaa wa Chuga yupo Sudan kusini anapiga pesa ndefu akirudi Chugastan ni kununua maeneo huko kivulini wanakouza heka kwa dollar za kutosha na kujenga hilo deal alipewa akiwa USA ni Fundi wa Truck fikiria mtu katoka USA anapiga pesa Sudan...aliporudi Tanzania ananiuliza jinsi ya kwenda huko nikamwambia nenda Nairobi utapata kila kitu...kwenye kutafuta kiwanja kinaweza kikawa kigumu kwako kwa mwingine mwenye taarifa kikawa rahisi na kinyume chake ndio hivyo hivyo...
😅😅😅😅😄😄😄😁😁😁 wabongo kazi sana mkuu tuna safari ndefu sana mpaka tuwe na mindset za wazungu labda ustaarabike.Wabongo bhana! Hujui hata anaenda kufanya nini ila hapo hapo unampangia nchi nyingine ili ndio aende!!
Nimekuuliza kingine unajibu kingine. Ngoja nikuulize swali la ziada, hivi kichwani mwako zipo timamu?Ushauri wake sio wa kupuuza! Ureno ni pagumu kwasababu miaka ya ya 2010 nchi ni km ilifilisika
Ndio maana kwa kubeba boksi ureno sio nchi ya uhakika
Sema mnadanganyana sijui afghanistan unatoboa [emoji16]
Bro humu wajuaji wengi sana lakini hajawahi hata kuvuka mkoa aliozaliwa anasikilizaga story za mitandaoni tu.
Nimekuuliza kingine unajibu kingine. Ngoja nikuulize swali la ziada, hivi kichwani mwako zipo timamu?
Unajidhalilisha sana na kujichoresha sana, unajaribu kuonesha watu kuna unachojuwa kumbe hujui lolote empty set.Ushauri wake sio wa kupuuza! Ureno ni pagumu kwasababu miaka ya ya 2010 nchi ni km ilifilisika
Ndio maana kwa kubeba boksi ureno sio nchi ya uhakika
Sema mnadanganyana sijui afghanistan unatoboa [emoji16]
Wataalamu wanasema ukiona mtu anaongelea vibaya kwa kusingizia mama wa wenzie asiyewajua, basi anaelezea tabia za mama yake halisi ambazo amezichoka na kuamua kutema nyongo kinamna hiyo ili moyoni awe huru. Ila umekosea sana kuanika maovu ya mzazi wako, hata akiwa na dhambi sawa na shetani unatakiwa umstiri tu maana hakukutupa alikulea hivyohivyo kwa upendo.Nisingekuwa timamu bikubwa wako angenipa?
Ureno ni makapuku tu ule weupe ndo unawapa jeuriYaani Ureno au Portugal, ni maskini sana.Hebu nikupe hii stori labda mlikuwa hamjui.
Rai wa kireno walipokuwa wanakuja kwenye makoloni yao kwa ajili ya kufanya biashara za pembe za ndovu,madini, mbao n.k .Walikuwa wanawaowa wanawake wa inchi husika, na ni wazinsi sana, walevi na wapenda starehe.
Walikuwa wanamkakati wa kukiteketeza kizazi cha wenyeji kwa kutumia njia ya kuwazalisha sana.Yaani mlevi wa kireno alikuwa haoni tabu kumkamata mama au binti wa kiafrika na kufanya naye mapenzi popote pale, kukageuka na kuwa na makaradi wengi sana, kuanzia vijijini mpaka mijini.
Sasa wanaume wakajikuta wanafamilia zaidi ya moja, yana Ureno ana mke na watoto, na inchi husika ana mke na watoto, na ni waumini wazuri sana wa kanisa katoliki.Kulipotokea kuporomoka kiuchumu kwa Ureno, zikajikuta zile familia zilizoko Ureno zinaomba Msaada kwa ndugu zao walioko afrika, Maana hakuna ajila, maisha ni magumu
Point takenWataalamu wanasema ukiona mtu anaongelea vibaya kwa kusingizia mama wa wenzie asiyewajua, basi anaelezea tabia za mama yake halisi ambazo amezichoka na kuamua kutema nyongo kinamna hiyo ili moyoni awe huru. Ila umekosea sana kuanika maovu ya mzazi wako, hata akiwa na dhambi sawa na shetani unatakiwa umstiri tu maana hakukutupa alikulea hivyohivyo kwa upendo.
Wataalamu wanasema ukiona mtu anaongelea vibaya kwa kusingizia mama wa wenzie asiyewajua, basi anaelezea tabia za mama yake halisi ambazo amezichoka na kuamua kutema nyongo kinamna hiyo ili moyoni awe huru. Ila umekosea sana kuanika maovu ya mzazi wako, hata akiwa na dhambi sawa na shetani unatakiwa umstiri tu maana hakukutupa alikulea hivyohivyo kwa upendo.
Kumbe alikwambia hivyo huyo jamaa anayekuharibia mzazi, inaonekana ndiyo analea familia yenu yote. Dogo endelea kuvumilia tu usije kugombana na mzazi wako ukafukuzwa nyumbani na huna pa kwenda. Mimi kama mkubwa wako nakushauri hivyoHujajibu swala langu bwana makame au unataka nimuache ukose mzazi mlezi
Kumbe alikwambia hivyo huyo jamaa anayekuharibia mzazi, inaonekana ndiyo analea familia yenu yote. Dogo endelea kuvumilia tu usije kugombana na mzazi wako ukafukuzwa nyumbani na huna pa kwenda. Mimi kama mkubwa wako nakushauri hivyo
Hata hivyo huko Porto walikua wanaongea kireno daah sisi tusiojua kimalkia tunasumbuka kweli...I was Porto two years ago (ungeandika kiswahili badala kuchapia Kimalkia).
[emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi ni ujuaji pana dogo mmoja alipata Visa ya Spain alitoka SA baadae akiwasiliana na watu wakawa wanamwambia bora arudi SA nilipokutana nae nikamwabia usiwasikilize hao wahuni nenda huko yupo Barcelona anakula maisha huko wakati SA alikua anaunga unga tuu...Halafu eti anailinganisha Portugal na South Africa, ila wabongo ujuaji utatupeleka pabaya.
Achananeni ni hizo mbanga za wazazi wakuu. Hassan Mambosasa & uwe hodariNimekuuliza hutaki niendelee kuwa baba mlezi?