Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,619
Huu ni uchambuzi wa ujenzi wa kilocal sana,nyumba kama nyumba ujenzi wake husimamiwa na injinia mwanzo mwisho,hiyo ujenzi kusimamia mke wako labda unajenga kibanda cha mama lishe.
Wabongo bhana kwa kujikweza tupo vizuri sana.
Ni nyumba ngapi za kuishi zinasimamiwa na mainjinia katika mazingira yako??????
Asilimia 81 ya watanzania ni watu wa kipato cha chini.
Sasa mtoa maada amewalenga watanzania wa kawaida wewe unaleta pumba zako ili members humu waone wewe na ndugu zako mnajenga kwa kutumia wahandisi,,,,,????????