akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 526
- Thread starter
- #41
Musidharau udongo au mawe au mchanga unaotoka kwenye mashimo ya choo maana wengi wetu tunakosea sana hapo.
Utakuta mtu kesha maliza ujenzi wa jengo ndo anachimba kisima sasa inamlazim atafute lory kusomba kifusi wakati kama angeanza na shimo basi kile kifusi kingetumika kujaza ndani ya msingi. Mf mimi toka nianze ujenzi sikuwahi kusomba kifusi maana shimo la choo lenye upana futi 12 na urefu wa futi 15 liliweza kujaza msingi na uzuri ardhi ya hapa kwangu ni mawe tupu so sikupata taabu kununua mawe wala kifusi.