Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

wakati wote unatakiwa kumkumbuka Mungu
 
Thank you dear. Ubarikiwe msg yako imenigusa mno
 
Kama umepata matatz meng kwa wakat mmoja unaiterm kama ugonjwa? Tena wa akili. Anyway may be wataalam ndo jinsi mnaiona. Nnachojua siumwi ugonjwa uliosema. Na ndo maana napambana kusort kuwa normal. Shukran though
 
Yes hapa najisikia maumivu makali ya kichwa
Punguza matarajio kutoka kwa watu na kusikiliza matarajio yao juu yako. Ikiwa umri unakutupa mkono (kwa mtazamo wa familia yako au pengine unadhani hivyo) jipe matumaini wakati wako bado na biidhnillah utafika wakati wako.

Unapofanya ibada, muombe Allah Akujaalia muongozo, kuridhika/kujizuia na kutosheka.

Pili badili mazingira angalau kwa masaa machache kwa kila siku na jitahidi kukaa na watu wanaochangamka muda wingi.
 
Hili la mwisho ndo huwa sifanyi. Ntaenda hata saloon nkae hapo
 
Situation imetokea jana. Leo ndo yakaja makubwa zaid
 
Kama umepata matatz meng kwa wakat mmoja unaiterm kama ugonjwa? Tena wa akili. Anyway may be wataalam ndo jinsi mnaiona. Nnachojua siumwi ugonjwa uliosema. Na ndo maana napambana kusort kuwa normal. Shukran though
Yap ndio mtu ANAWEZA akawa kafiwa ,kaachana na mpenzi wake akawa depressed (mood disorder) ila mwingine anaweza akapitia shida kama izo.juu na asiwe depressed dhumuni langu ni ukaonane na psychologists au psychiatric ukamueleze what makes u depressed ili akusaidie kuliko wengine wanakushauri ukafanye mapenzi all in all is up to you , nimemaliza advice.
 
Ndo mana nmekushukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…