Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Mmmmh! Ndugu, msongo wa mawazo hauna dawa zaidi ya ushauri au kukubali wewe mwenyewe kuondoa mawazo ya kile kinacho kukabili, mwenye Sonona, ili kuondoa au kupunguza hiyo hali, anza Kwa kushirikisha watu dhidi ya shida yako bila kujificha, maongezi ya watu na ushauri wao utakusaidia kuondoa au kupunguza msongo
Acha kupotosha wewe ,hata hospital kuna sawa za kipambana na stress
 
Mtu pekee anayeweza kukusaidia ni yule aliyewahi kupitia Hali kama yako na akavuka maana anaweza kuvaa viatu vyako,wengi watakupa pole ambayo itakupoza Kwa muda tu..Ni kweli unaweza kusoma vitabu, unaweza kugoogle na pengine kuingia youtube but you need someone wa kuzungumza nae face to face or through the phone.
You spoke my mind
 
Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.

Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.

No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.

Nyie aisee tuombeane its hard.

Jaribu kuzitambua hizo negative believes ambazo zinakupa msongo na replace na positive mind. Don’t think to much kwenye kitu kimoja for too long.
 
Happiness always looks small when you hold it on your hands,but when you let it go you will truly see how precious it is.

Matatizo ndio yanaleta msongo wa mawazo,na msongo wa mawazo huondoa furaha kwani vitu hivi havikai pamoja.

Kuna wakati unapitia hali fulani ambayo inakufanya uone dunia inaboa,dunia haina inshu,yani unaona dunia haikupi amani wala furaha unajikuta unaishi kukamilisha ratiba tu wala hakuna kitu kinachokupa amani.

Kuna wakati unapata majanga mpaka yale ambayo yalikuwa yanakupa furaha yahakupi tena furaha,kama ulikuwa unaenjoy kucheza mpira basi unajikuta mpira haukupi tena furaha bali unajikuta unahitaji kuwa alone nyumbani au somewhere.

Wale watu wanaosema kwamba eti fanya vitu vinavyokupa furaha ni uongo,ukiwa na majanja yale ambayo yalikuwa yanakupa furaha yatakuwa yanaboa na badala yake yatakuwa hayakupi furaha.

Mtu ambae hana majanja,yaani mtu ambaye yuko bored tu hana matatizo yaliyokumkuta ndio tunaweza kumshauri afanye vitu anavyopendelea zaidi kama kucheza mpira ama kwenda kwenye part na washkaji.

Lakini mtu ambaye amekutwa na majanja binafsi,yanamtia mawazo basi vitu ambayo alikuwa yuko interest navyo vinakuwa havimpi tena furaha,huu ndio msongo wa mawazo,na hata mimi nimepitia,najikuta nikikimbia naahirisha narudi ndani,nikifanya kitu fulani najikuta sina mood,sooo unajikuta unataka kukaa chini uwaze ama ulie peke yako.

Mtoa mada naomba nimshauri kitu kwamba kwa watu waliopata matatizo ambayo ndio yamepelekea msongo wa mawazo kuna tiba kuu zifuatazo.

1. MUDA ; Jiambie kwamba muda unavyozidi kwenda hili jambo linazidi kunipunguzia stress ila kikawaida tatizo huwa linatia mawazo siku zamwanzo.
Kuna msemi napenda kuutumia usemao kwamba

"tunachohitaji sio kuishi bila changamoto(matatizo)bali tunachohitaji ni kuishi na changamoto ambazo hazituibii furaha zetu"

So tunachohitaji kwanza ni kuhakikisha matatizo hayatuondolei amani na furaha za mioyo yetu,yani unalizoea tatizo na maisha yaendelee.

FURAHA NI NINI ? furaha ni kuwa na hamu ya kuendelea kuishi,na ndio maana wenye huzuni(msongo)hawaoni utamu wa kuishi kila kitu kwao kinakuwa bored,kinyume na hali ile basi hiyo ndio furaha ya kweli.

Furaha sio ile unayokuwa nayo unaposhinda gari mpya,au kushinda mamilioni,ile sio furaha ile ni stress(good stress).

So JIAMBIE kwamba muda unavyokwenda hili tatizo litakuwa kawaida,kumbuka lengo la kwanza ni kulizoea tatizo lisikuibie furaha yako na wala lengo la kwanza sio kuondoa tatizo.

Kwa nini ?

Kwa sababu kuna matatizo yanakupata ambayo yatahitaji muda ili kuyakabili yote,mfano mtu ameingia kwenye madeni mazito ambayo yatamchukua muda kuyalipa,so huyu hawezi kuondoa tatizo bali anatakiwa alizoee ili lisimpokonye furaha ya maisha(lisimpokonye hamu ya kuendelea kuishi).

Hivyo usipigane saaaaana kuliondoa tatizo ambalo linahitaji muda kuliondoa badala yake pambana kulizoea tatizo ili lisichukue furaha ama hamu ya kuishi.

Na tatizo tunalizoea kwa kadri ya muda unavyokwenda,kadri siku zinavyokwenda.

2. TAFUTA MTU WA KUMUELEZEA.
hapa naomba nisisitize kwamaba ukishapata huyo mtu hakikisha unamuelezea yoooooooteee yanayokusibu na yote unayodhani kwamba yanaweza kusaidia tatizo.

ONYO : Kamwe usije ukaruhusu mtu akushauri wakati hujamuambia kila kitu kuhusu tatizo lako,hiyo haitosaidia,hakikisja anayekushauri anafahamu every detail of your scenario.

Watu wengi huja kuomba ushauri wakati hawako tayari kutos kila kitu,wengine hudanganya baadhi ya mambo(sio vizuri)ili tu tusiwaonewajinga,hapana kama kuna srhemu ulifanya jambo la kijinga elezea yoooote usifiche kitu,kuficha kunapunguza ponyo kwa kiasi kikubwa sana,ndio maana wengine hushauri tafuta mtu ambaye hakujui kwa nini ? Kwa sababu mtu asiyekujua utapata ujasiri wa kumuambia kils kitu bila kuhofia atakuonaje na hiyo inasaidia kuponya sana.

3. HAKIKISHA UNAWAKABILI WAHUSIKA,kama tatizo lako linahusiana na watu wengine ama ni lazima watu wengine uwakamilishie mambo yao na umeshindwa basi hakikisha unawajulisha mapema.

Mfano : unatakiwa ulipe madeni ya watu na hela huna,hakikisha unawaambia ukweli kwamba siku za kulipa zimefika na pesa huns,hiyo otasaidia kupunguza ile tension kuliko kuhangaika kutafuta pesa ambazo hujui unapata wapi.

Nimejaribu kuelezea kwa ujumla japokuwa sijui shida nini na najua sio rahisi kuelezea tatizo lako hapa.

Kama una swali unaweza kuuliza hapa mimi nitajibu ama PM pia nitajibu,huwa sifanyi masihara na mtu anayesema ana msongo wa mawazo kwa sababu ni hali ambayo na mimi imeshawahi kunitesa.

Asante
 
Nmekuelewa mno
 
Tafuta pesa,ridhika na hali uliokua nayo usifocus kwenye maisha ya watu au furani kafanya nini au hana nini,live your own life without comparing it with that of others ondoa presha ya kufanikiwa kwa haraka.
Ujumbe umenigusa huu directly..jamii forums nikisima cha maarifa.depression is real.
 
Back
Top Bottom