Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Kaa kando

Mtoto keshampata babake, na mke keshapata amani yake

Story yako tells us kwamba you were a bad cart taker
 
Ingekua mm ningeendelea na mambo yangu. ..wala nisingesema chochote kwakua usipoangalia hatahuyo mkeo wanashirikiana namzazi mwenza ilaww hujui. .somesha wanao achakuutesa moyo wako kwa stress mwisho unakufa kwa pressure...unao 6 wengine piga kazi tena fanya km hujui vile....one day watakutafuta hawa.
 
Hili ndio suluhisho maana ameshazaa nsye watoto 6 hakuna haja ya kuanza kumbembeleza sana.
Ni kuanzisha tu maisha mengine kimyakimya
 
Duh hii mada yake ina utata yaani aoe miaka 9 nyuma leo hii wawe na watoto 7 wanazaa kwa spidi gani?
 
Ulishalea ukamaliza. Acha waishi maisha waliyochagua. Unajipa headache ya bure tu. Vitu vingine shukuru endelea na maisha yako. Wewe si baba yake halisi. Hawa watoto mwisho wa siku watarudi kwa baba zao tu.
 
Kwa nini ufe na stress waeleze wote mtoto na mama yake. Kisha.piga kimya, tafta mchepuko, usitake kujua habari zao. Jenga huko huko uliko maana na mkeo ana mchepuko. Wapige pin wote.
 
Umekiuka ile sheria usioe single mother umepata ulichofaindi, Alaf ukiachana na single maza kuna wamama uwa hawanaga akili ata kidogo, wanatabia yakuwashirikisha matatizo yao ya ndoa watoto adi watoto kumchukia baba pasipo watoto ata kuuliza mama je wew ni mwema sana kwa baba haujawai kumkosea.

mim mama yangu pia uwa anatabia hii hii ya kutuadithia upuuzi wa baba yetu enzi za ujana wao na alivyoteseka ila mim uwa naishia kumsikiliza tu na kumpuuza maana najua nature ya awa viumbe jamii KE ata awe mama yako mzazi ni walel wale, lakin mzee wangu mim nayey ni mabest kinoma na hakuna siku amewahi kunisimulia upuuzi wa mama ujanani na sio kwamba mama alikuwa mwema ila tu mzee anavunga hanaga story za maza kabisa za ujanani
 
fainali uzeeni....hilo liko wazi
 
Watu mnachunguza aisee ile story sio ya ukweli mkuu nikimanisha kwamba sio ya kwangu ni ya mtu wangu was karibu SAS nikawa natafuta mawazo aliniomba ushauri nikaona nipate mawazo nikijifanya ni ya kwangu ila hii in kweli ya kwangu..
Ahaa! Kwa hiyo unakatabia ka uwongo uwongo?
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…