kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kandoHabari wana jamvi!
Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7.
Kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu (my step son) nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata kazi mwaka juzi akiwa na miaka 19 tu, huyu kijana nimemlea mimi tokea akiwa mdogo maana nilianza kuishi na mama yake dogo akiwa na miaka 2.
Kwanini nimekuja kwenu leo, mke wangu anajua simuelewi, amekuwa msiri sana na huyu kijana wake. Wanafanya vitu vya siri siri, sishirikishwi kwa chochote nikiwa kama mzazi. Kuna siku kijana kamfata mama yake waende wakanunue eneo mimi sijaambiwa sikumaind, maana ni jambo la kawaida tuu.
Kubwa kuliko ni kijana kaenda katoa mpaka mahari, lakini kijana mimi hajaniambia kama baba yake ambae nimemlea tokea mdogo, mpaka kazi mimi ndio nimemtafutia lakini hanishirikishi kwenye jambo la kuoa.
Nilipochoka wametoa mpaka mahari lakini taarifa sijapewa ni hivi mimi niko nao mbali, mimi niko mkoa wa Arusha kikazi, saizi wife na familia wapo Pwani, Kibaha. Kijana wangu kazi anafanyia Morogoro huyo kiukweli hiki kitu kimeniuma sana.
Nikifikiria huyu mke wangu tulikuwa tunapendana sana na tumetoka mbali sana, tokea kipindi iko tunaishi Iringa nilimkuta akiwa dada wa kazi za ndani ana mtoto mimi nikiwa msaidizi pia kaka wa kazi za ndani. Ila tukapendana hivyo hivyo Mungu akanisaidia nikapata ajira mwaka 2000, 2002 tukaoana tukiwa wadogo sana.
Tena nilimuoa hata ile ruksa ya mimi kupata kutoka kazini sikupata ruksa ya kuoa lakini nilimuoa hivyo hivyo mpaka leo tuna watoto 7 ukijumlisha na wake, lakini leo kijana wake mambo yanakuwa mazuri wanaanza nitenga nashindwa elewa nimewakosea nini!
Maana mimi huwa sishindi nyumbani naweza nikakaa miezi hata mitatu sijarudi home hii yote kutokana na nature ya kazi yangu ambayo kijana wangu my step son amenirithi, kiukweli naumia sana.
Yani tunaelekea uzeeni wife ndo ananza nificha hivi, mke wangu alikuwa na tabia nzuri tuu nashindwa elewa izi tabia kazitoa wapi za kunificha sijawai mfumania ajawai nifumania sina mtoto wa njee sina mwanamke njee japo nilishawai kuwa mchepuko nilipigaga mara mbili tatu onetime nikatemana nae lkn mke wangu hakujua sasa nashindwa kuelewa why wife amebadilika hivi?
Kitu kingine kijana huyu nikimpigia simu hapokei au akipokea hana story na mimi kama zamani kiukweli hiki kitu kina nitesa sana yani natamani hata nistaf mapema ili niwe karibu na wife lakini mimi kustaafu bado mpaka mwaka 2045.
Kiukweki sina furaha natamani nirudi nikakae karibu na familia yangu sijawai fikiria kama mapenzi yatanitesa hivi jinsi mm na wife tulivyopendana sijui nimemkosea wapi mpaka amenitenga ananificha baadhi ya vitu yeye na kijana wake.
Kitu kingine nasikia wife anajenga huko Mbande lakini hajaniambia. Hii sina uhakika maana nipo mbali naye. Ukiangalia kama miradi mingi mimi na wife tumeshirikiana ifanya na iko hatua nzuri kiukweli nataka nichukue leave ya mwezi mzima nikakae home nitulize akili mana wife simuelewi anashida gani kwann ananificha ficha vitu vyake sikuizi.
Hii ndio JF.Nani kasema mwanajeshi mbn unakurupuka hivyo mkuu nimesema wapi mimi no mwanajeshi???
Wala hapafikirishi mtoto kaajiliwa ana miaka 19Kutoka 2002 mpaka 2022 ni miaka mingapi??Jumlisha miaka miwili ya dogo, atakuwa na umri gani??? Acha kukurupuka!!!
Hili ndio suluhisho maana ameshazaa nsye watoto 6 hakuna haja ya kuanza kumbembeleza sana.Mkuu, ukichukua leave uende kukaa home eti unatuliza akili, utajikuta unachizi... ongea tu na mama muambie kilichopo moyoni afu jipe shughuli. Mwanao pia mpe taarifa kwa mbali kwamba sio freshi. Wala usimlipizie....atayapitia uko mbele.
Sana sana pambana na shughuli yako mkuu, itakupotezea mawazo mabaya....na bila kusahau. Tafuta kamchepuko utoe stress!!!
Duh hii mada yake ina utata yaani aoe miaka 9 nyuma leo hii wawe na watoto 7 wanazaa kwa spidi gani?Sawa inawezekana ikawa hivyo lakini stori yako imejaa chumvi
Huyu mke uliyemuoa 2013 anakubania papuchi ni mke huyu wa uzi wa leo ama ni mke wa pili?
Mke wangu ananibania tendo la ndoa
Wakuu habari zenu, kwema, wazima humu! Ngoja twende kwenye mada. Ni hivi nina mke nimeoa tangia mwaka 2013 tumebatika kupata watoto 4 wa kiume 3 wa kike 1. Wakuu kabla sijamuoa mke wangu kipindi hicho tulivyokutana miaka ya 2007 tupo kwenye uchumba tulikuwa tuna fanya sana mapenzi, alikuwa...www.jamiiforums.com
Ulishalea ukamaliza. Acha waishi maisha waliyochagua. Unajipa headache ya bure tu. Vitu vingine shukuru endelea na maisha yako. Wewe si baba yake halisi. Hawa watoto mwisho wa siku watarudi kwa baba zao tu.Habari wana jamvi!
Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7.
Kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu (my step son) nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata kazi mwaka juzi akiwa na miaka 19 tu, huyu kijana nimemlea mimi tokea akiwa mdogo maana nilianza kuishi na mama yake dogo akiwa na miaka 2.
Kwanini nimekuja kwenu leo, mke wangu anajua simuelewi, amekuwa msiri sana na huyu kijana wake. Wanafanya vitu vya siri siri, sishirikishwi kwa chochote nikiwa kama mzazi. Kuna siku kijana kamfata mama yake waende wakanunue eneo mimi sijaambiwa sikumaind, maana ni jambo la kawaida tuu.
Kubwa kuliko ni kijana kaenda katoa mpaka mahari, lakini kijana mimi hajaniambia kama baba yake ambae nimemlea tokea mdogo, mpaka kazi mimi ndio nimemtafutia lakini hanishirikishi kwenye jambo la kuoa.
Nilipochoka wametoa mpaka mahari lakini taarifa sijapewa ni hivi mimi niko nao mbali, mimi niko mkoa wa Arusha kikazi, saizi wife na familia wapo Pwani, Kibaha. Kijana wangu kazi anafanyia Morogoro huyo kiukweli hiki kitu kimeniuma sana.
Nikifikiria huyu mke wangu tulikuwa tunapendana sana na tumetoka mbali sana, tokea kipindi iko tunaishi Iringa nilimkuta akiwa dada wa kazi za ndani ana mtoto mimi nikiwa msaidizi pia kaka wa kazi za ndani. Ila tukapendana hivyo hivyo Mungu akanisaidia nikapata ajira mwaka 2000, 2002 tukaoana tukiwa wadogo sana.
Tena nilimuoa hata ile ruksa ya mimi kupata kutoka kazini sikupata ruksa ya kuoa lakini nilimuoa hivyo hivyo mpaka leo tuna watoto 7 ukijumlisha na wake, lakini leo kijana wake mambo yanakuwa mazuri wanaanza nitenga nashindwa elewa nimewakosea nini!
Maana mimi huwa sishindi nyumbani naweza nikakaa miezi hata mitatu sijarudi home hii yote kutokana na nature ya kazi yangu ambayo kijana wangu my step son amenirithi, kiukweli naumia sana.
Yani tunaelekea uzeeni wife ndo ananza nificha hivi, mke wangu alikuwa na tabia nzuri tuu nashindwa elewa izi tabia kazitoa wapi za kunificha sijawai mfumania ajawai nifumania sina mtoto wa njee sina mwanamke njee japo nilishawai kuwa mchepuko nilipigaga mara mbili tatu onetime nikatemana nae lkn mke wangu hakujua sasa nashindwa kuelewa why wife amebadilika hivi?
Kitu kingine kijana huyu nikimpigia simu hapokei au akipokea hana story na mimi kama zamani kiukweli hiki kitu kina nitesa sana yani natamani hata nistaf mapema ili niwe karibu na wife lakini mimi kustaafu bado mpaka mwaka 2045.
Kiukweki sina furaha natamani nirudi nikakae karibu na familia yangu sijawai fikiria kama mapenzi yatanitesa hivi jinsi mm na wife tulivyopendana sijui nimemkosea wapi mpaka amenitenga ananificha baadhi ya vitu yeye na kijana wake.
Kitu kingine nasikia wife anajenga huko Mbande lakini hajaniambia. Hii sina uhakika maana nipo mbali naye. Ukiangalia kama miradi mingi mimi na wife tumeshirikiana ifanya na iko hatua nzuri kiukweli nataka nichukue leave ya mwezi mzima nikakae home nitulize akili mana wife simuelewi anashida gani kwann ananificha ficha vitu vyake sikuizi.
fainali uzeeni....hilo liko waziUmekiuka ile sheria usioe single mother umepata ulichofaindi, Alaf ukiachana na single maza kuna wamama uwa hawanaga akili ata kidogo, wanatabia yakuwashirikisha matatizo yao ya ndoa watoto adi watoto kumchukia baba pasipo watoto ata kuuliza mama je wew ni mwema sana kwa baba haujawai kumkosea.
mim mama yangu pia uwa anatabia hii hii ya kutuadithia upuuzi wa baba yetu enzi za ujana wao na alivyoteseka ila mim uwa naishia kumsikiliza tu na kumpuuza maana najua nature ya awa viumbe jamii KE ata awe mama yako mzazi ni walel wale, lakin mzee wangu mim nayey ni mabest kinoma na hakuna siku amewahi kunisimulia upuuzi wa mama ujanani na sio kwamba mama alikuwa mwema ila tu mzee anavunga hanaga story za maza kabisa za ujanani
kaburi limefukuliwaVipi tena mkuu?
Ahaa! Kwa hiyo unakatabia ka uwongo uwongo?Watu mnachunguza aisee ile story sio ya ukweli mkuu nikimanisha kwamba sio ya kwangu ni ya mtu wangu was karibu SAS nikawa natafuta mawazo aliniomba ushauri nikaona nipate mawazo nikijifanya ni ya kwangu ila hii in kweli ya kwangu..
Jamaa alimsifia sana kijana wake. 🤣kaburi limefukuliwa
Pole sanaHabari wana jamvi!