Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Sawa inawezekana ikawa hivyo lakini stori yako imejaa chumvi

Huyu mke uliyemuoa 2013 anakubania papuchi ni mke huyu wa uzi wa leo ama ni mke wa pili?


Duh!..🙄🙄
 
Mkuu, ukichukua leave uende kukaa home eti unatuliza akili, utajikuta unachizi... ongea tu na mama muambie kilichopo moyoni afu jipe shughuli. Mwanao pia mpe taarifa kwa mbali kwamba sio freshi. Wala usimlipizie....atayapitia uko mbele.

Sana sana pambana na shughuli yako mkuu, itakupotezea mawazo mabaya....na bila kusahau. Tafuta kamchepuko utoe stress!!!
Nashukuru mzee...
 
Habari wana jamvi..! Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye
Aibu ni mkeo, huna haki ya mahali hiyo ila unastahili heshima kubwa mno kuzidi hata baba wa mtoto, mkeo ndio ana akili kidogo, dharau na tamaa. Kaa kimya, kwenye gharama na ushiriki wako kwenye harusi mwambie pia asikushirikishe. Kaa na act kwa hekima, speak the issue softly when needed, but mark your firm
 
Sawa inawezekana ikawa hivyo lakini stori yako imejaa chumvi

Huyu mke uliyemuoa 2013 anakubania papuchi ni mke huyu wa uzi wa leo ama ni mke wa pili?


Watu mnachunguza aisee ile story sio ya ukweli mkuu nikimanisha kwamba sio ya kwangu ni ya mtu wangu was karibu SAS nikawa natafuta mawazo aliniomba ushauri nikaona nipate mawazo nikijifanya ni ya kwangu ila hii in kweli ya kwangu..
 
Actually inauma sana....tenga muda uende mkayajenge na huyo mkeo huenda kuna kitu hakipo sawa.
 
Habari wana jamvi..! Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka
KIFUPI: Huyo kijana na mama yake huenda walionesha kutoa ushirikiano kwako Kwasababu Walikuwa tegemezi na hivyo hawakuwa na jinsi nyingine ya kuendesha maisha zaidi ya kushikamana na wewe vizuri.

Sasa hivi, wanaonesha tabia yao halisi baada ya kujikomboa kutoka kwako. Inaonesha katika maisha yako na wao Kuna vitu hawakuvifurahia kutoka kwako lakini walishindwa kuondoka Kwasababu Walikuwa wanakutegemea( kifupi:Sasa hivi wanaona huna madhara yoyote kwao, kwa lolote utakalolifanya).

KIFUPI: Binadamu hapimiki( huwezi kuijua tabia ya binadamu, hasa mwanamke anapotaka kuolewa, Kwasababu ataigiza tabia ile ambayo kila mtu anaipenda). Lakini akishapata anachohitaji ataonesha tabia halisi.

USHAURI: Hilo ni jambo la kawaida sana ambapo umepata bahati ya kulijua toka mapema. Sasa cha kufanya ni kujiandaa kisaikolojia kwa lolote litakalotokea ili ulione kuwa ni la kawaida likitokea. Na hiyo ni tabia ya kawaida sana, Kwasababu binadamu ana kawaida ya kuwachoka binadamu wenzake, kazi fulani, mazingira fulani, nk, anapokuwa amekaa nao au nayo kwa muda mrefu.
 
  • Kumbuka sehenu ya hii sala "....UTUSAMEHE MAKOSA YETU KAMA SISI TUNAVYOWASAMEHE WANAOTUKOSEA....". Tafakari. Chukua hatua! Utu uzima dawa.
  • Haya ni miongoni mwa maswaibu yanayopata watoto wanaolelewa na mzazi mmoja; maswaibu ya ukubwani yanawaumiza watoto sana, na hakuna wa kuyasemea. SINGLE MOTHERS WA KUJITAKIA WATCH OUT!
 
Habari wana jamvi..! Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka
Umeoa 2000 ukiwa na age ya 17 hapo ni fomu 2 ukiwa,, Achana nao tafuta kaPC uenjoy nako wakigundua akili zitawarudi
 
Pole sana mkuu Chabrosy
Kuna mdau amekuambia tenda wema uende.

Mimi kwenye hili nasema hapana. Wewe ni baba huyo dogo ni mwanao, simama kama baba mtokee kwa ukali wa baba na busara za mtu mzima.
Dogo anastahili kuelewa kosa lake na kujifunza, pia mama ajue kosa lake.

Wanaume tunapoteza nafasi yetu!
 
Back
Top Bottom