Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Hongera saana bro umepambana sana hapa ulipofika
Nikifikiria huyu mke wangu tulikuwa tunapendana sana na tumetoka mbali sana tokea kipindi iko tunaishi Iringa nilimkuta akiwa dada wa kazi za ndani ana mtoto mimi nikiwa msaidizi pia kaka wa kazi za ndani ila tukapendana hivyo hivyo Mungu akanisaidia nikapata ajira mwaka 2000, 2002 tukaoana tukiwa wadogo sana tena nilimuoa hata ile ruksa ya mimi kupata kutoka kazini sikupata ruksa ya kuoa lakini nilimuoa hivyo hivyo mpaka leo tuna watoto 7 ukijumlisha na wake lakini leo kijana wake mambo yanakuwa, mazuri wanaanza nitenga nashindwa elewa nimewakosea nini maana mimi huwa sishindi nyumbani naweza nikakaa miezi hata mi3 sijarudi home hii yote kutokana na nature ya kazi yangu ambayo kijana wangu my step son amenirithi kiukweli naumia
 
Hapa ndipo unaposikiaga baba kaua mama na mwanaye wa kufikia.

Anachofanya mkeo ni ushenzi wa grade A.

Huenda kijana hana kosa ni msukumo wa mama yake tu.

Bahati nzuri wewe ni mjeshi, na huyo mwanao ni mjeshi, bado una nafasi ya kumkanya huyo step son wako iwe kama baba ama kama senior wake.

Akileta jeuri ongea na wakubwa zake wampige chini. Asilete dharau hapa, eboooh!
Ila duniani watu wana jeuri yaani Baba kamlea kwa taabu kweli na kumsaidia kusoma hadi kupata kazi leo anaanza dharau. Daah inauma sana
 
Sawa inawezekana ikawa hivyo lakini stori yako imejaa chumvi

Huyu mke uliyemuoa 2013 anakubania papuchi ni mke huyu wa uzi wa leo ama ni mke wa pili?


Huyu jamaa msaniii ,usicheze na tekinilojia
 
Kitu kingine naskia wife anajenga uko MBANDE lkn ajaniambia hii sina uhakika mana nipo mbali nae ukiangalia kama miradi mingi mm na wife tumeshirikiana ifanya na iko hatua nzuri kiukweli nataka nichukue leave ya mwezi mzima nikakae home nitulize akili mana wife simuelewi anashida gani kwann ananificha ficha vitu vyake sikuizi.
Ni vizuri uchukue likizo kwanza ukakae home na watoto wako.

Pia kuwa makini pia je hao watoto wote 6 ni wa kwako? Hawa wanawake ni wajanja sana
 
Ingewezekana ukamharibia dogo ajira yake itakuwa poa sana japo najua ni ngumu, ila ukitumia umafia inawezekana, mpandikizie nadawa ya kulevya au silaha nyumbani kwake, kwa kutumia mafia afukuzwe kazi akili zitawakaa sawa.
🤣🤣🤣🤣daah
 
Piga talaka huyo mkeo na huyo mtoto uliyemlea achana nae,wewe ulisha fanya wema kwao na Mungu atakulipa tu,

Weka akili yako kwenye malezi ya watoto wako,jaribu kua nao karibu.
Mbona unarahisisha sana talaka jamaa ndio kwanza amegudundua tatizo kwanini wasiongee
 
Huyu jamaa msaniii ,usicheze na tekinilojia
Sidhani kama ni msanii. Humu stori zinazokuja huws hazimhusu mwandishi moja kwa moja zingine ni za jamaa zetu na majirani na ndigu. Huwa tunavaa uhusika ili kuvuta attention na mawazo chanya ili tujua cha kuwashauri wenzetu wanaopitia mitihani.
 
Ila duniani watu wana jeuri yaani Baba kamlea kwa taabu kweli na kumsaidia kusoma hadi kupata kazi leo anaanza dharau. Daah inauma sana
Zitakuwa ni akili za mama ake hizi.... Naamini dogo hana kinyongo na mzee kabisa sema anashauriwa vibaya na mama ake..
 
Muda umekwenda sana imagine jama kaoa ana miaka 20 plus miaka 19ya dogo maana yake yuko na 30+.

Usipokuwa makini na maswala ya mwenza unajikuta muda wa uhai wako woote wewe umesindikiza wengine duniani.
Aminii mkuu...!! Wapo watu wamefanikiwa lakini hawaenjoy kabisa mafanikio yaoo... sababu ya ndoa zao kuwa za motooo
 
Shituka wewe…….. Mkeo itakuwa karudiana na mzazi mwenzie kapime DNA hao watoto 6.
 
Mkuu huyo wife wako anafanya juu chini ili hata ukistaafu usije ukagusa hela za huyo mtoto wake, anataka ahudumiwe pekeake,
au laa tayari mtoto ameshamjua baba yake na wanawasiliana
Jibu hili hapa kwa hio chief emu jiongeze tu hapo ulikua unailea Mali (asset) ya mtu mwingine, akili aliyoitumia huyo mkeo anaijua mwenyewe ila ukweli upo wazi kwamba mkeo itakua kaongea na mtoto wake na kumtengenezea mazingira ya kujiweka kando na wewe ila yote kwa yote usisahau maana halisi ya mwanaume hivyo ni vitu vidogo tu kijana wako wa kufikia kutokua na mawasiliano mazuri na wewe isikupe shida una asset 5 ziimarishe sasa zifike kwenye level zaidi ya hiyo moja ambayo sio yako (huyo mtoto sio wa wako) asikuumize kichwa na isikuumize kichwa pia hata hao watoto 5 unaowasema umezaa na huyo mkeo yanaweza ikawa asset zako hapo ni 2 tu ila 3 zote mama kauza mechi kwa Siri yaan wana baba zao ambao wewe hauwajui maana wewe pia umedodosa kwamba ulikua una katabia ka kuchepuka mara mbili tatu hivi unategemea yeye hajawahi kuuza mechi (kuchepuka) kwa Siri bila wewe kujua Kisha unakuja kushtuka kashika tumbo ana mimba, hivyo basi jikaze mwanaume 39 yrs ni parefu sio wa kulialia mapenzi hakika pia kumbuka ndoa ni akili kwa hio inabidi uitumie akili yako vizuri unapokua kwenye ndoa ili usije ukafanya maamuzi ya ajabu yatakayo ishangaza dunia, tuliza moyo kisha tumia akili yako vizuri usikurupuke kufanya maamuzi ya ajabu
 
Tafuta muda uongee nao wote kwa kina kama hawatabadilika waache waendelee na mambo yao ipo siku watakutafuta yatakapowakuta ya kuwakuta.
 
Tuliza moyo mkuu hiyo ndo kawaida ya stepsons wengi, ingekua ni wakike basi uyo mtoto angekupenda sana

Nimesoma Mbande nikakumbuka site yangu huko ngoja niende nikaicheki.
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7 kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu my step son nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata kazi mwaka juzi akiwa na miaka 19 tu huyu kijana nimemlea mimi tokea akiwa mdogo maana nilianza kuishi na mama yake dogo akiwa na miaka 2.

Kwanini nimekuja kwenu leo mke wangu anajua simuelewi, amekuwa msiri sana na huyu kijana wake wanafanya vitu vya siri siri sishirikishwi kwa chochote nikiwa kama mzazi kuna siku kijana kamfata mama ake waende wakanunue eneo mimi sijaambiwa sikumaind maana ni jambo la kawaida tuu kubwa kuliko ni kijana kaenda kuoa katoa mpaka mahari lakini kijana mimi hajaniambia kama baba yake ambae nimemlea tokea mdogo mpaka kazi mimi ndio nimemtafutia lakini hanishirikishi kwenye jambo la kuoa nilipochoka wametoa mpaka mahari lakini taarifa sijapewa ni hivi mimi niko nao mbali, mimi niko mkoa Arusha kikazi saizi wife na familia wapo Pwani, Kibaha kijana wangu kazi anafanyia Morogoro huyo stepson wangu kiukweli hiki kitu kimeniuma sana.

Nikifikiria huyu mke wangu tulikuwa tunapendana sana na tumetoka mbali sana tokea kipindi iko tunaishi Iringa nilimkuta akiwa dada wa kazi za ndani ana mtoto mimi nikiwa msaidizi pia kaka wa kazi za ndani ila tukapendana hivyo hivyo Mungu akanisaidia nikapata ajira mwaka 2000, 2002 tukaoana tukiwa wadogo sana tena nilimuoa hata ile ruksa ya mimi kupata kutoka kazini sikupata ruksa ya kuoa lakini nilimuoa hivyo hivyo mpaka leo tuna watoto 7 ukijumlisha na wake lakini leo kijana wake mambo yanakuwa, mazuri wanaanza nitenga nashindwa elewa nimewakosea nini maana mimi huwa sishindi nyumbani naweza nikakaa miezi hata mi3 sijarudi home hii yote kutokana na nature ya kazi yangu ambayo kijana wangu my step son amenirithi kiukweli naumia sana.

Yani tunaelekea uzeeni wife ndo ananza nificha hivi mke wangu alikuwa na tabia nzuri tuu nashindwa elewa izi tabia kazitoa wapi za kunificha sijawai mfumania ajawai nifumania sina mtoto wa njee sina mwanamke njee japo nilishawai kuwa mchepuko nilipigaga mara mbili tatu onetime nikatemana nae lkn mke wangu hakujua sasa nashindwa kuelewa why wife amebadilika hivi?

Kitu kingine kijana huyu nikimpigia cm apokei au akipokea hana story na mimi kama zamani kiukweli hiki kitu kina nitesa sana yani natamani hata nistaf mapema ili niwe karibu na wife lkn mm kustaaf bado mpaka mwaka 2045.

Kiukweki sina furaha natamani nirudi nikakae karibu na familia yangu sijawai fikiria kama mapenzi yatanitesa hivi jinsi mm na wife tulivyopendana sijui nimemkosea wapi mpaka amenitenga ananificha baadhi ya vitu yeye na kijana wake.

Kitu kingine naskia wife anajenga uko MBANDE lkn ajaniambia hii sina uhakika mana nipo mbali nae ukiangalia kama miradi mingi mm na wife tumeshirikiana ifanya na iko hatua nzuri kiukweli nataka nichukue leave ya mwezi mzima nikakae home nitulize akili mana wife simuelewi anashida gani kwann ananificha ficha vitu vyake sikuizi.
ulioa ukiwa na umri wa miaka 17? Ulianza mahusiano na mkeo ukiwa na umri wa miaka 15? Maelezo yako yanaonesha ulizaliwa mwaka 1985.
 
I think kuna kitu nyuma ya pazia sizani kama mtoto na mama ake ni mashetani kiasi hicho waanze tu kuku ignore, i wish tupate stori ya upande wa pili
 
Nani kasema mwanajeshi mbn unakurupuka hivyo mkuu nimesema wapi mimi no mwanajeshi???
We sajini acha ushamba mwenyewe niliposoma tu kisa chako nikajua we mjeda sasa unaficha nini? na huyo mwanao int ya 39 wala asikusumbue kichwa we hujui askari mpya alivyo na tambo na kuona askari woote aliowakuta hawana akili yeye ndo ana akili, basi tulia tuliiii atarudi tu na michozi mixer makamasi mpe muda huyo na kuhusu mkeo sikufichi wakiamua ubaya wameamua hao usikute wakikaa na mwanae wanakusema ulikuwa unawatesa 😂😂😂 we kula maongezeko yako bwana poti sugu
 
Back
Top Bottom