Afu tatu tu wanakupa huduma, kuliko kuchukua maamuzi ya kijinga kama alivyofanyaAisee
Mbona tutafika tumechoka sana ange enda kwa maafisa UTAMU wapo wengi sanaaaaaa kujisuuza
Hata ugumu wa maisha HATUWEZI kutufanya tukakata TAMAA na kujiuaAisee mimi uchi haujaniua aisee,yaani uchi kabisa uchi nijitie kitanzi hapana.
Labda yeye alikua ana upenda huo uchi labda ni mtamu sanaaTanzania ina wagonjwa wengi sana wa akili
Mbona hili liko wazi,kwa matukio ya hivi karibuni,inaonesha wanaoteseka zaidi kwenye ndoa ni wanaume na si wanawake aisee🤓
SI angenyonga kichwa cha chini kwa mafuta au sabun badala ya kichwa cha juuAisee
Mbona tutafika tumechoka sana ange enda kwa maafisa UTAMU wapo wengi sanaaaaaa kujisuuza
Ndio maana wahenga husema mke mmoja hudumaza akiliAfu tatu tu wanakupa huduma, kuliko kuchukua maamuzi ya kijinga kama alivyofanya
Tufanyeje sasakwa matukio ya hivi karibuni,inaonesha wanaoteseka zaidi kwenye ndoa ni wanaume na si wanawake aisee🤓
Omba YASIKUKUTESI angenyonga kichwa cha chini kwa mafuta au sabun badala ya kichwa cha juu
Hapo kuna Tatzo lingine sio papuch 2.
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililoripotiwa jana, Oktoba 13, 2026, majira ya saa 12 asubuhi, akieleza kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyofungwa kwenye nondo ya dirisha.
Kwa mujibu wa Kamanda Banga, uchunguzi wa awali unaonesha kuwa tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na kutokuelewana kati ya marehemu na mkewe kuhusu masuala ya ndoa na tendo la ndoa.
Inadaiwa kuwa mke wa marehemu alikataa kushiriki tendo la ndoa akieleza kuwa mumewe hajaokoka, hali ambayo inadaiwa kuchangia mgogoro huo wa kifamilia na kumsababishia marehemu msongo wa mawazo.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Banga ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhimiza mafundisho yanayojenga amani, maelewano na mshikamano katika familia na jamii, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litachukua hatua kwa vitendo vinavyokiuka sheria.