Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Mafundisho ya walokole yanafarakanisha sana hao "sogea tuishi".

Mke akiokoka tu analishwa sumu na shida zinaanza,unaitwa "watu wa mataifa".😀

Hapo hupewi show huo ni uzinzi ila mpiga kinanda church anaichapa!!
 
Unakuta mchungaji anachotewa maji ya kuoga kupikiwa na kufuliwa alafu mume hajaliwii

Noma sanaaaaaa
hapo kama mwanaume aliyekamilika, alitakiwa aanze na huyo mchungaji wao, atembezewe mapanga yakutosha,...
mara nyingi sipendi kuwalaumu wanawake, maana kama mwanaume umewahi kuwa na mwanamke karibu, utabaini kuwa hawako sawa kiakili, so sio watu wa kuwachukulia seriously,...
 
kwa matukio ya hivi karibuni,inaonesha wanaoteseka zaidi kwenye ndoa ni wanaume na si wanawake aisee🤓
Hao Me shida yao wengi wakipitia hali fulani huwa hawajui kuhadithia na kuomba ushauri (wasiri) ili walau wapate ahueni.

Kazi yao wanayagugumia moyoni mwishowe wanajikuta kichwa kimejaa maudhi hapo ndo unakuta wanafanya maamuzi ambayo hata hayaelezeki saa ingine.

#Kuwashauri tu hao Me mambo yanapowazidia wajifunze kutafuta ushauri kwa wengine. Serikali ya kichwa kimoja peke yake kukijaza mambo kibao sana sana unakichosha tu.
 
Back
Top Bottom