MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ndo maana hawa viongozi wa dini kama kina Mwamposa, Geor Davie, Kitima, Mwamakula, Suguye, Bagonza na Zumaridi huwa ninawachukia sana. Wanaharibu mno jamii.
Acha kabisa Mtani aliye juu atusaidie tu mana inatisha.Mtani, hali ni mbaya kwenye ndoa, Duuh
Maafisa utamu wapo kila Kona , elfu 2 tu tayari unabanjua utamu halafu dume Zima linajinyonga. Hovyo kabisa.Unakuta mchungaji anachotewa maji ya kuoga kupikiwa na kufuliwa alafu mume hajaliwii
Noma sanaaaaaa
Amekufa kishujaa sana huyu Mwamba
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililoripotiwa jana, Oktoba 13, 2026, majira ya saa 12 asubuhi, akieleza kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyofungwa kwenye nondo ya dirisha.
Kwa mujibu wa Kamanda Banga, uchunguzi wa awali unaonesha kuwa tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na kutokuelewana kati ya marehemu na mkewe kuhusu masuala ya ndoa na tendo la ndoa.
Inadaiwa kuwa mke wa marehemu alikataa kushiriki tendo la ndoa akieleza kuwa mumewe hajaokoka, hali ambayo inadaiwa kuchangia mgogoro huo wa kifamilia na kumsababishia marehemu msongo wa mawazo.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Banga ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhimiza mafundisho yanayojenga amani, maelewano na mshikamano katika familia na jamii, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litachukua hatua kwa vitendo vinavyokiuka sheria.
Una shida kwenye kichwa chako. naona upo mbioni kujinyonga pia. Ni vile kitakacho sababisha wewe kujinyonga Bado hakijapatikana. Utakumbuka haya maneno kipindi roho inakutoka mkuukamanda wa polisi ni mahamudi! tangia lini kamba ya kiatu ikatumika kujinyongea? be careful brethren, tunaishi in dangerous times, the devil never sleeps.
never trust a muslim …
Tena kajinyonga kwa kutumia kamba za viatu....Lahaula la kwata!!!Kwanza Marehemu alikua mfupi kias gan had kujinyonga kwenywe Dirisha......?
Lakini dunia inataka kuonesha Mwanaume ananyanyaswakwa matukio ya hivi karibuni,inaonesha wanaoteseka zaidi kwenye ndoa ni wanaume na si wanawake aisee🤓
KabisaAlazwe pema peponi kamanda.....
Sanaa!! Huu mwezi sijui umekuaje hata.Acha kabisa Mtani aliye juu atusaidie tu mana inatisha.
Hadi naishiwa cha kusema Mkuu.Sema neno