Njombe: Askari 3 wafariki na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali

Njombe: Askari 3 wafariki na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali

Hizi ndio habari za mwezi huu tuwe waangalifu na kusali daima.
 
Hio pick up mbona kichwa hakijaguswa? Sasa nawaelewa wanaopenda kukaa na dereva
 
Hahahahaah hii Kali! Nilikua hapo kituoni Njombe miezi mitatu iliyopita aieee yule binti pale mapokezi alikua anajibu watu vibaya sana! Nikaishia kucheka tu. Kikaja kiaskari kingine kimeshupaa utadhani komamanga LA kiangazi, kikajifanya kunipiga mkwara nikatabasamu tu nikatoka nje nikamwambia sawa boss.



Sent using Jamii Forums mobile app
huo ndio uanaume,sio unakaa unabishana na mtu ambaye unajua kabisa ni mbabaishaji au ana matatizo kichwani,

unakuta mtu anadiriki mpaka kumkaba traffic,sijui huwa anakuwa ametarajia nini baada ya hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio pick up mbona kichwa hakijaguswa? Sasa nawaelewa wanaopenda kukaa na dereva
Ukiichunguza kwa makini hiyo hard top imegongwa ubavuni tena nyuma kuanzia mwisho wa cabin, na basi limepata madhara mbele tena kwenye kona ya kulia ikiwa inamaanisha dereva wa hard top alikuwa anaingia barabarani wakati huo huo basi likiwa barabara hiyo likiendelea na safari, na kama ni mahala kilipo kituo cha polisi kama inavyodaiwa basi kuna tatizo hapo kwann lisiwekwe tuta kwa ajili ya kupunguza mwendo wa vyombo vya moto pengine magari hupita kwa kasi hapo na ndo sababu ya basi kugonga cruiser ubavuni wakati ikiingia road.

Pumzikeni kwa amani officers, majeruhi mwenyezi MUNGU awajaalie uponyaji
 
ukiichunguza kwa makini hiyo hard top imegongwa ubavuni tena nyuma kuanzia mwisho wa cabin, na basi limepata madhara mbele tena kwenye kona ya kulia ikiwa inamaanisha dereva wa hard top alikuwa anaingia barabarani wakati huo huo basi likiwa barabara hiyo likiendelea na safari, na kama ni mahala kilipo kituo cha polisi kama inavyodaiwa basi kuna tatizo hapo kwann lisiwekwe tuta kwa ajili ya kupunguza mwendo wa vyombo vya moto pengine magari hupita kwa kasi hapo na ndo sababu ya basi kugonga cruiser ubavuni wakati ikiingia road.
Pumzikeni kwa amani officers, majeruhi mwenyezi MUNGU awajaalie uponyaji
Hicho kituo kiko kwenye kilima, kwahio huyo dereva aliingia kiboya wakati jamaa anashuka kwenye kilima Rada ikiwa tayari inasoma Arusha tayari.....
 
Leo asubuhi majira ya saa 12:15am hivi imetokea ajali mbaya Sana mkoani Njombe ikihusisha gari la abiria kampuni ya Sharon na gari la polisi Toyota land cruiser. Basi hilo linalofanya safari zake Kati ya Njombe na Arusha.

Basi la Sharon lilikuwa lina overtake basi la mwalimi express kwenye mtelemko wa polisi. Kwa Bahati mbaya na gari la polisi likiwa na askari 12 likawa linaingia barabarani. Ndo hapo balaa likatokea. Palepale askari wetu 3 wakakata kauli.
Taarifa zinasema basi la Sharon lilifeli brake.
Pole kwa familia na jeshi la polisi.
 
Pole raia wa familia wa kwenye ajali!!!Polisi siwapi pole mmesahau majukum yenu kwenye utawala huu mnamlinda jiwe na mauaji yake mmewaacha raia na maumivu yetu!!!Mungu awamalize polisi wote kabla ya uchaguzi huu!!!
Kumbuka katika hao polisi, kuna ndugu, jamaa, majirani na marafiki zetu! [emoji848][emoji848][emoji848]

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Pole raia wa familia wa kwenye ajali!!!Polisi siwapi pole mmesahau majukum yenu kwenye utawala huu mnamlinda jiwe na mauaji yake mmewaacha raia na maumivu yetu!!!Mungu awamalize polisi wote kabla ya uchaguzi huu!!!
Mkuu linapokuja swala kama hili. Wale ni binadamu wenzetu
 
Kumbuka katika hao polisi, kuna ndugu, jamaa, majirani na marafiki zetu! [emoji848][emoji848][emoji848]

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
kama na hao marafiki na majirani wanaonea wananchi kwa point ya huyu mchangiaji ni sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom