Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Mbona sasa mnatuchanganya jamani? Hii ni video fake, si kweli. Huyo aliyepiga magoti siye JPM, acheni kumzushia bulldozer. Kwanza, huyo hajapiga magoti. Mkitaga kushuhudia upigaji wa Magoti ukoje, subirini siku wanaingia Kawe kumnadi yule tapeli Gwajima.

Siku hiyo labda mtashuhudia jinsi magoti halisi yanavyopigwa. Huyu alikuwa anajiandaa tu kupiga push up akajichanganya kidogo baada ya kunong'onezewa muziki wa Karatu.
 
Karatu WANAKERA!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…