GEita Njombe Songwe zaman na Mbeya hiyo sio mikoa ya binadamu bali majini yaliyo ktk umbo la binadamu.RIP,simuachane tu kwan lazima mpaka kufanya Unyama huo hatar sana,,,ila Hii nchi Kuna mikoa sio ya kuoa/kuolewa kabisa inaongoza kwa mauaji ya kutisha,,,kila siku headlines za vifo vya wapenzi ni wao smh
Si ndio huko huko chadema digital!
Sasa mtu kama huyo utamuambia nini dear?😁Imebidi umsikilize Kwa utulivu
Ni kumsikiliza tu hamna namnaSasa mtu kama huyo utamuambia nini dear?
binadama ni kiumbe scam kwenye universe error creationDuh binadamu tuna roho ngumu mno
Jidanganye,Whatever it is,huyo jamaa lazima ni mchawi,ni wale wanaokulaga nyama usiku...
Tatizo kuishi kwa maigizo. Kama unaona yamekushinda ,achana na ndoa, la sivyo utakufa mapemaNdoa siku hizi hazina uvumilivu
Ova
Kabisa aiseeHuo mkoa ufutwe una laana watu wa huko sio binadamu ni majini kwenye mwili wa binadamu
Unataka tutaje yote na yale ya Geita ?Wewe kila kitu unataka kuingiza siasa ina maana huo ugumu wa maisha upo njombe tuu?
Na kweli wamejibu mapema kuliko ilivyotarajiwa!Nilisema baada ya lile tukio la Geita lazima Njombe walipe. Hawatakagi kukaa kizembe
Weka jibu unaloona linafit hapo!Kwa hiyo chadema ndio wanasababisha maisha kuwa magumu?! [emoji16][emoji16]
Kuna watu hawana cha kupotezà.Midomo inawaponza wanawake , mwanaume hata kama ni mwehu ,kuna namna ya kutuliza munkari ,sasa unakuta mwanamke anatoa shit kama teja
Mamaee kwa kichwa kilichopinda lazima ageuzwe ndafu tu
Ah kudadadeki 😂🤣 baadhi ya wanawake wamevurugwamke wake akimtukana ":unadhani mimi nafirwa kama wewe ? "
Unadhani usingezaliwa kipi kingepungua?Hiki kizazi chetu sijui hata kina nini. Ni kama vile uzao wa 80 kuja juu ni kama kuna laana imepita.
Nawaza kama wazazi wetu na sisi wangekuwa na fikra na maamuzi kama ya kizazi hiki sijui hata kama wengi wetu tungezaliwa.
Epuka sana kuwa kwenye uhusiano na mtu ambaye hana marafiki. Mshauri wake mkuu ni moyo wake na kichwa chake tu. Siku akichanganyikiwa anashangaza dunia.Kyando ni fundi wa kujenga alikuwa hana makundi pia hana historia ya kuwa na matatizo ya akili na alikuwa anaishi vizuri na mke wake lakini wanashangaa kuona ametekeleza tukio hilo la kikatili lililowashtua ambapo kwa sasa anaacha watoto wadogo watatu akienda Polisi na mkewe akiwa amefariki.
Hapa umenena.Watoto Wengine wa 3 kuna mtu anaachiwa Mzigo kwa upuuzi wa mmoja..
Wafungwa kama hao, inatakiwa akifika huko apigishwe kazi haswa haswa za kuingiza kipato alishe famili yake, sio kwenda kula dona la bure huku anawapa mzigo wengine,
Yaani yupp Jela ila Mtaani kafanya maendeleo kwa lazima kuzidi hata aliyepo huru..
Amejenga, Analisha familia, anasomesha, anavalisha, Yaani hata mtoto akitaka smartphone anaenda tuu kwa bwana Jela anamuambia Ongeza dozi huko tunataka Simu, mpaka ajute, Na lazima ajute maana ni mbinafsi akiona anavuja yeye jasho wanafaidi wengine.