Watoto Wengine wa 3 kuna mtu anaachiwa Mzigo kwa upuuzi wa mmoja..
Wafungwa kama hao, inatakiwa akifika huko apigishwe kazi haswa haswa za kuingiza kipato alishe famili yake, sio kwenda kula dona la bure huku anawapa mzigo wengine,
Yaani yupp Jela ila Mtaani kafanya maendeleo kwa lazima kuzidi hata aliyepo huru..
Amejenga, Analisha familia, anasomesha, anavalisha, Yaani hata mtoto akitaka smartphone anaenda tuu kwa bwana Jela anamuambia Ongeza dozi huko tunataka Simu, mpaka ajute, Na lazima ajute maana ni mbinafsi akiona anavuja yeye jasho wanafaidi wengine.