Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

RIP,simuachane tu kwan lazima mpaka kufanya Unyama huo hatar sana,,,ila Hii nchi Kuna mikoa sio ya kuoa/kuolewa kabisa inaongoza kwa mauaji ya kutisha,,,kila siku headlines za vifo vya wapenzi ni wao smh
GEita Njombe Songwe zaman na Mbeya hiyo sio mikoa ya binadamu bali majini yaliyo ktk umbo la binadamu.
 
Viongozi wa dini, Watu wa saikolojia na Jeshi la akiba, lihamie Njombe kwa muda, watu wapate elimu.
 
Hiki kizazi chetu sijui hata kina nini. Ni kama vile uzao wa 80 kuja juu ni kama kuna laana imepita.

Nawaza kama wazazi wetu na sisi wangekuwa na fikra na maamuzi kama ya kizazi hiki sijui hata kama wengi wetu tungezaliwa.
Unadhani usingezaliwa kipi kingepungua?
 
Kyando ni fundi wa kujenga alikuwa hana makundi pia hana historia ya kuwa na matatizo ya akili na alikuwa anaishi vizuri na mke wake lakini wanashangaa kuona ametekeleza tukio hilo la kikatili lililowashtua ambapo kwa sasa anaacha watoto wadogo watatu akienda Polisi na mkewe akiwa amefariki.
Epuka sana kuwa kwenye uhusiano na mtu ambaye hana marafiki. Mshauri wake mkuu ni moyo wake na kichwa chake tu. Siku akichanganyikiwa anashangaza dunia.
 
Watoto Wengine wa 3 kuna mtu anaachiwa Mzigo kwa upuuzi wa mmoja..

Wafungwa kama hao, inatakiwa akifika huko apigishwe kazi haswa haswa za kuingiza kipato alishe famili yake, sio kwenda kula dona la bure huku anawapa mzigo wengine,
Yaani yupp Jela ila Mtaani kafanya maendeleo kwa lazima kuzidi hata aliyepo huru..

Amejenga, Analisha familia, anasomesha, anavalisha, Yaani hata mtoto akitaka smartphone anaenda tuu kwa bwana Jela anamuambia Ongeza dozi huko tunataka Simu, mpaka ajute, Na lazima ajute maana ni mbinafsi akiona anavuja yeye jasho wanafaidi wengine.
Hapa umenena.
 
Back
Top Bottom