Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Geita na Njombe matukio yamekithiri Kwa kweli.Nilisema baada ya lile tukio la Geita lazima Njombe walipe. Hawatakagi kukaa kizembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geita na Njombe matukio yamekithiri Kwa kweli.Nilisema baada ya lile tukio la Geita lazima Njombe walipe. Hawatakagi kukaa kizembe
Kipochi manyoya ndio chanzoGeita na Njombe matukio yamekithiri Kwa kweli.
Ipo haja ya watu kupimwa afya ya akili kila mwezi vitu watu wanavyo kunywa na kuvuta bila kusahau umbeya nao ni simu wengine hawafanyi uchunguzi!Shetani ameingilia hii taasisi ya ndoa
Si ndio huko huko chadema digital!Ugumu wa Maisha unasababisha mambo mengi sana .
Acha kudanganya,nimekulia njombe miaka yote sijawahi kuiona hata bangi yenyeweHuo Mkoa una watu wavuta bangi vibaya mno ndio shida hiyo.
Tatizo ni kutotarajia yasiyotarajiwaTatizo ni Mkoa au Ndoa?
Makete bangi ni mboga,uione kwani unavuta?Acha kudanganya,nimekulia njombe miaka yote sijawahi kuiona hata bangi yenyewe
Sasa kama ni mboga mbona haionekani?Makete bangi ni mboga,uione kwani unavuta?
Shetani mnamuonea.Shetani ameingilia hii taasisi ya ndoa
Lakini mh afande wananchi wangemrushia mawe na kumuua huyo muuaji kabla hajatelekeza hilo tukio mngewakamata tena kwa kujichukulia sheria mkononi.Mkuu wa Polisi wilaya ya Makete mrakibu mwandamizi wa Polisi Assel Mwampamba amesema tukio hilo si la kawaida na kutoa ushauri kwa wananchi kujenga utamaduni wa kuwa na namba za jeshi la Polisi ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza "Hili lingezuilika sasa ametoka na Panga mkakimbia wote na wanaume acheni uwoga yaani mtu yuko mmoja anacharanga mtu ninyi mmekimbia mngekuwa mnamrushia mawe asingeendelea kukata mtu pale"
Hakuna kosa lolote mtu akifanya Anastahili hiyo adhabu.Alimkosea nini kikubwa namna hiyo mpaka amcharange namna hiyo?
Nimeogopa!
Kweli ebu huyo afande atoe ufafanuzi kuhusu kauli yake.Lakini mh afande wananchi wangemrushia mawe na kumuua huyo muuaji kabla hajatelekeza hilo tukio mngewakamata tena kwa kujichukulia sheria mkononi.
mkuu tofautisha kati ya Njombe na makete.Makete ipo mkoa wa njombe,yawezekana umeishi njombe mjini hujaingia makete.Makete kule kwenye milima ya kulima ngano,bangi ilikuwa inaota yenyewe.Hata mking'oa huu mwaka,mwakani ipo tena.Sasa kama ni mboga mbona haionekani?