Njombe: Katekista wa Kanisa Katoliki apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka

Ila hizi kesi za maketekista zimekuwa nyingi Sana kwa Hawa watoto.
 
Huu uzi unanikumbusha haya ..
 
Hili tatizo halihusiani na imani ya mtu bali linamuhusu mtu husika aliye fanya kitendo hicho,hili ni tukio baya sana haijalishi limefanywa na mtu mwenye imani ya dini ipi,hili ni jambo la kukemewa na kila Binadamu mwenye utimamu wa akili.
Kapiga kavu ,na hulka yake nasio hulka ya kanisa
 
Ila angekuwa sheikh, ungehusishwa uislam
Sana Tu mkuu, Ila kwakuwa waislamu siku zote tunaamini katika haki Kwa mujibu wa Dini yetu ndio maana tunaona sio sahihi kulaumu taasisi badala ya mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hkn unafuu wa Nani umpe mtot akuuangalizie itadi serekali iwe inakodesha. Bastola

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kitanzi tu halali yake yanajaza magereza tu
 
hii tabia ya wahudumu wa kiimani kubaka na kunajisi kwamini inaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…