Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Mfanyabiashara Maarufu mjini Njombe bwana Godfrey Ndambo amevamiwa na kujeruhiwa vibaya na watu Wasiojulikana usiku wakati akirenea nyumbani kwake ambapo baadae alifariki kutokana na majeraha hayo,Polisi wamethibitisha.

Baada ya kuvamiwa walimpora pesa kiasai Cha Milioni 47 na kutokea kusikojulikana.Polisi wanaendelea na uchungywa.msako.

View: https://www.instagram.com/p/C9uimIstI2D/?igsh=MTcyb3F5d3hyancydQ==

My Take
Ni very risk kutembea na pesa nyingi kiasia hicho,unakwepa TRA huku unahatarisha maisha Yako.

R.I.P mpambanaji Ndambo sijui kama ndio yule wa Ndambo Construction au ni ukoo tuu.

Nchi ngumu hii
 
Kweli aisee .. M45 kwa siku? Sema huyu hana ndumba , Machale yangemcheza
Nahisi alikuwa anajihusisha na miamala ya benki na mitandao ya simu, na huenda ni makusanyo ya siku kadhaa. Wahuni huwa wanatabia wakijua una circulation nzuri ya pesa wanakuja kuweka hard cash nyingi ili iwe rahisi kwao kukufanyia umafia coz wanajua una cash on hand kiasi cha kutosha.
 
ni kweli,,alikua wakala mkubwa sana mjini,kwa banks zote na mitandao yote ya cm.
 
Inside job. Halafu waliomvamia utakuta wako zaidi ya 10 na waliochora. Kwa iyo watagawana million mbili mbili. Baada ya kumdhulumu nafsi.
Hela ya hivi huwa haina la maana mtu atafanyia. Unakuta miongoni mwao kuna wengine washaanza kula k vant, kuchoma mbuzi na kununua K hata week haimalizi, huku wamegharimu uhai wa mzazi, mtoto au ndugu wa mtu na wanamtegemea. Inasikitisha sana
 
Pesa bana unatafuta kwa shida
kumbe ndo kifo chako!!
Unajibana wee unanunua gari linakuua

Unajibaa wee majambazi yanaua

Unajibana wee ukizipata unaanza kula freshi kumbe unatengeneza presha na sukari unakufa😂😂

Unajibaana wee ukiomba Mungu uzipate, ukizipata unajisahau na kusema hakuna mungu, unakufa 😂
Duuu
 
Back
Top Bottom