Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Nchi ngumu hii
 
Kweli aisee .. M45 kwa siku? Sema huyu hana ndumba , Machale yangemcheza
Nahisi alikuwa anajihusisha na miamala ya benki na mitandao ya simu, na huenda ni makusanyo ya siku kadhaa. Wahuni huwa wanatabia wakijua una circulation nzuri ya pesa wanakuja kuweka hard cash nyingi ili iwe rahisi kwao kukufanyia umafia coz wanajua una cash on hand kiasi cha kutosha.
 
ni kweli,,alikua wakala mkubwa sana mjini,kwa banks zote na mitandao yote ya cm.
 
Inside job. Halafu waliomvamia utakuta wako zaidi ya 10 na waliochora. Kwa iyo watagawana million mbili mbili. Baada ya kumdhulumu nafsi.
Hela ya hivi huwa haina la maana mtu atafanyia. Unakuta miongoni mwao kuna wengine washaanza kula k vant, kuchoma mbuzi na kununua K hata week haimalizi, huku wamegharimu uhai wa mzazi, mtoto au ndugu wa mtu na wanamtegemea. Inasikitisha sana
 
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…