chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.
Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke
Sisi team Mbowe tunasubiri maelekezo tu tukaikamate ofisi kwa kutumia utaalamu wetu wa medani, tutawatoa wote wanaozitumia