Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,275
- 13,575
Wanaelekea wapi sasa?????? Ili tuwafateMbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.
Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke
Sisi team Mbowe tunasubiri maelekezo tu tukaikamate ofisi kwa kutumia utaalamu wetu wa medani, tutawatoa wote wanaozitumiaView attachment 3337842