Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake 19 wajivua uanachama. Wasema lazima wagawane mali na majengo ya chama!

Hayo utayasema mahakamani baada ya kufurushwa, tutapambana mahakamani hata miaka 15

Lazima uwe mpumbavu kupindukia, kuamini kuwa mtu aliyrkuwa mkristo akasilimu, halafu anapoondoka, aseme tugawane kanisa. Mtu huyo lazima atakuwa na utindio wa ubongo. Iliwezekanaje watu wenye mapungufu ya akili kiasi hicho, waliweza kuwa viongozi?
 
Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.

Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke

Sisi team Mbowe tunasubiri maelekezo tu tukaikamate ofisi kwa kutumia utaalamu wetu wa medani, tutawatoa wote wanaozitumiaView attachment 3337842
Hatutaki vurugu nchi hii. Kama wameondoka waache waondoke, sisi waislam mwanamke akidai talaka kwakuwa kadanganywa ataolewa na mume mwengine huyo mwanamke anaondoka mtupu na haki vtu vyake tu
 
Akili za kibongo bana, sasa ukiondoka chadema unadai mali za chadema kama nani? Apedomia
 
Hatutaki vurugu nchi hii. Kama wameondoka waache waondoke, sisi waislam mwanamke akidai talaka kwakuwa kadanganywa ataolewa na mume mwengine huyo mwanamke anaondoka mtupu na haki vtu vyake tu
Hatukubali, tuna mchango wetu
 
Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.

Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke

Sisi team Mbowe tunasubiri maelekezo tu tukaikamate ofisi kwa kutumia utaalamu wetu wa medani, tutawatoa wote wanaozitumiaView attachment 3337842
Eti mgawane majengo kum.anyoko nyie,waende tu kwa amani kama wanataka fujo tuko tayari.
 
Wenzenu wamenunua viwanja vya 1B ww sugua gagq mtamdaoni na uchawa wako
 
Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.

Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke

Sisi team Mbowe tunasubiri maelekezo tu tukaikamate ofisi kwa kutumia utaalamu wetu wa medani, tutawatoa wote wanaozitumiaView attachment 3337842
Mgao jana ilikuwa ni zamu ya Njombe na sms ilikuwa inazunguka kuwa asiyekuwepp kwenye press hawatafanya nae biashara. Hiyo mbona tuliijua mapema kabisa kuwa njaa 55 walituma kibunda kidogo Njombe?
 
CCM ilitoa fedha nyingi sn kuhakikisha CHADEMA inakufa kuliko fedha ilizotoa kwenye maendeleo
 
Hii ndiyo CHADEMA niliyoitarajia Bora wangeondoka kwa pamoja ili tujenge upinzani wa kweli siyo vyama rafiki.
 
Back
Top Bottom