The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Afu mama yake Yupo Kimyaa tuuuTatizo la yule mjinga Chalamila ni namna alivyosema. Angeweza kusema kwa namna ya kistaarabu na siyo kusema yule mama aende kwa mume wake akamzalishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu mama yake Yupo Kimyaa tuuuTatizo la yule mjinga Chalamila ni namna alivyosema. Angeweza kusema kwa namna ya kistaarabu na siyo kusema yule mama aende kwa mume wake akamzalishe.
Yaaa ni Bure lakini uende na vifaa vyakoKama sera na muongozo wa wizara ya Afya unasema huduma za mama mjamzito kujifungua ni bure, sasa mjamzito anapodaiwa kulipa pesa ya kujifungua wakati huduma hizo ni bure hiyo pesa inakwenda kwa nani?
Mkuu huyu ndio mkweli. Kwasababu Sera inasema akina mama wajifungue bure. Kama hakuna dawa na vifaa tiba ndio serikali iwajibike kwa kuweka Sera wasioweza kutimiza. Ila hao wahudumu wanatakiwa hivyo vitu watoe bure visipokuwepo hakuna wa kuwalaumu. Sasa sio yule mropokaji anaelazimisha kana kwamba ndio Sera waliyoweka.Huyu jamaa sio kiongozi mzuri maana kasifiwa mbio kapiliza nyumbani?
Naamini Bora mropokaji anayesema ukweli kuliko anayejifanya anabusara muongo.
Maana mkweli anafanya tujue Kuna tatizo tutalijadiri ila mwongo anayejifanya anabusara anafanya propaganda ionekane tatizo hakuna wakati lipo.
Sera ya afya ya taifa yote ni moja DSM na Njombe Sasa huyo mwongo atueleze hiyo budget wameitoa wapi ili tujue DSM wamefeli wapi
Labda imeanza sasa io bure ngoja tuone.Sasa huyo jamaa atatengeneza bomu maana wanaume watagoma kutoa pesa za vifaa wakihisi wanapigwa na wake zao na kuwasababishia ugumu wa kazi wakunga
Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone?Afu mama yake Yupo Kimyaa tuuu
😂😂😂😂😂Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone?
Ni ukweli je ndio serikali inachofanya maana atasabisha watumishi wa chini kabisa ambao wanamishara duni waonekane wanauza vifaa.Mkuu huyu ndio mkweli. Kwasababu Sera inasema akina mama wajifungue bure. Kama hakuna dawa na vifaa tiba ndio serikali iwajibike kwa kuweka Sera wasioweza kutimiza. Ila hao wahudumu wanatakiwa hivyo vitu watoe bure visipokuwepo hakuna wa kuwalaumu. Sasa sio yule mropokaji anaelazimisha kana kwamba ndio Sera waliyoweka.
Bure ilikuwa kipindi Cha JPMLabda imeanza sasa io bure ngoja tuone.
Wizara ya afya inatunga sera na miongozo lakini watekelezaji ni wengine. Wanasiasa wanachokosea ni kuwaambia wananchi huduma za uzazi na watoto chini ya miaka mitano ni bure halafu haipeleki fedha kulingana na gharama na mwisho wa siku vituo vinapoona vitacollapse vinawalipishaKama sera na muongozo wa wizara ya Afya unasema huduma za mama mjamzito kujifungua ni bure, sasa mjamzito anapodaiwa kulipa pesa ya kujifungua wakati huduma hizo ni bure hiyo pesa inakwenda kwa nani?
Ndiyo! Huyu wa Njombe ni raia wa nchi Guinea!RC wa Njombe na wa Dar ni wa nchi mbili tofauti!?
Yupo vizuri sanaNdiyo! Huyu wa Njombe ni raia wa nchi Guinea!
Ni kweli Huduma ni Bure au ni siasa tuu za kusagiana kunguni?Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi.
RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa (RCC) ambapo amesema wanawake wajawazito hawatozwi gharama za kujifungua hivyo wataamu wa afya wanapaswa kutekeleza agizo hilo.
"Wanawake wajawazito hawatozwi gharama za kujifungua, sitakubali kusikiliza kwamba mtu ameenda hospitali ameambiwa ‘gloves’ haipo, nyuzi ya kushona haipo, sijui pamba haipo tusiruhusu hilo jambo", amesema RC Mtaka
Pia soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani.
View attachment 3225153
Utafikir nchi mbili tofautiMkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi.
RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa (RCC) ambapo amesema wanawake wajawazito hawatozwi gharama za kujifungua hivyo wataamu wa afya wanapaswa kutekeleza agizo hilo.
"Wanawake wajawazito hawatozwi gharama za kujifungua, sitakubali kusikiliza kwamba mtu ameenda hospitali ameambiwa ‘gloves’ haipo, nyuzi ya kushona haipo, sijui pamba haipo tusiruhusu hilo jambo", amesema RC Mtaka
Pia soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani.
View attachment 3225153