Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Sura za kanda ya kati hazijifichagi kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha

Wale kunguni sio wa nchi yhn sio poa kabisa wanapiga bite za hatr na hawajawai kuisha mpka dakika hii madogo wanatafunwa tu Sitasahahu nilivyodrop kwa mchumba nafika gomc kumbe nimewababeba kama wote kwnye beg aisee walikula kibano cha kikali....lilikuwa bonge la aibu yhn!!!
 
Aisee ebu nipe tips mkuu za uchunguzi wako
 
Nilikua Ujamaa 5 miaka hiyo
UMOJA
UJAMAA
MAENDELEO
MAPINDUZI

Dah Kweli kitambo block moja limebaki nimelisahau lipo kati ya EGM class na MAENDELEO block

Haya majina ukiya-dot kama yanaleta kamaana flani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…