Mimi nilikuwa Mapinduzi 3, nilikuwa sichelewi madishi kwa kiasi kikubwa ili kuhakikisha msuli mrefu naumudu nikiwa nimeshiba
mmmmmh!!! harufu ya uturi mpaka huku naifeel.......mapaja hayo mpaka naona aibu mimi!!Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa kweli...mchepuko ulivunja mawani yangu juzi.
Wakipita uniwaonyeshe basi. Siitwi mkuu tazafali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha
Wale kunguni sio wa nchi yhn sio poa kabisa wanapiga bite za hatr na hawajawai kuisha mpka dakika hii madogo wanatafunwa tuSitasahahu nilivyodrop kwa mchumba nafika gomc kumbe nimewababeba kama wote kwnye beg aisee walikula kibano cha kikali....lilikuwa bonge la aibu yhn!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Table leader sio....hhh tumefungia sana madishi kwa upuuzi wa kutegeana kuosha.
Kwanini usi- install quora application?Vitu ambavyo viko kwa mtindo wa website naona uzito sana kwa kutumia simu.
MaApp ndio nayatumia sana kwa simu maana ni rahisi kuliko website.
Website kwa simu nitabakia kuingia google tu
Hahhaahhaha uncle; bado tupo tupo sana. Wewe peleka tu proposal unapotaka iendeHawa watu wameenda wapi siwaoni kabisa.
Sakayo
Shunie
@espy
Heaven Sent
Nalendwa
joanah
jje's
Mzigua90
Na wengine wengi
Mama Sabrina
Washaolewa wote kweli!! Ama kweli subiri subiri utakuta mwana si wako
pia ni ustadh swala tano sheik mmoja mzuri tu ambaye ukimuona hautaamini mvaa suruali fupi sometimes nimemaliza.Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.
Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.
Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?
Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
crazyMm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pia ni ustadh swala tano sheik mmoja mzuri tu ambaye ukimuona hautaamini mvaa suruali fupi sometimes nimemaliza.
Mapinduzi bweni la Tosa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena mida ya jioni hata assembly mtu hauendi. Lilikuwa bweni langu.
Nikizungukiaga lazima nifike nikasalimie madogo na kuwaonesha kitanda changu jinsi nilivyokimbizwa na kunguni hadi nikahamia class
Nilikuwa naumwa tumbo huo Muda, basi hata kusinzia ilikuwa mtihani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hulali? mwenzio nimeamka hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sio popoma anayesemwa na Genta
crazy