Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Aiseee. Nimejiunga JF wakati nina miaka 17. Guess nna umri gani mwaka huu. Maana toka nipo sijui form 4 ndo nilijiunga mwaka 2011 mpaka sasa npo in service.
 
Aiseee. Nimejiunga JF wakati nina miaka 17. Guess nna umri gani mwaka huu. Maana toka nipo sijui form 4 ndo nilijiunga mwaka 2011 mpaka sasa npo in service.
Kwa waangalizi wa ID kongwe unawakomesha kweli kama ni kweli una 24 na una miaka takribani 7 humu

Hili ni chaka lenye giza unaempapasa humjui kama roho yako itasuuzika nae

Wengi wamekimbiana humu
 
Kwa waangalizi wa ID kongwe unawakomesha kweli kama ni kweli una 24 na una miaka takribani 7 humu

Hili ni chaka lenye giza unaempapasa humjui kama roho yako itasuuzika nae

Wengi wamekimbiana humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee una mashairi sana
 
Kweli ni ngumu lakini mtu kuchat nae sms 10 unakuwa ushajua yuko rika gani

Kuna huyo jamaa hapo kasema kajiunga humu 2011 akiwa 17 ugumu upo haswaa sikubishii
Yeah nilitaka nikutolee mfano wa huyo mkuu hapo juu since 2011 kabla hajatoa maelezo yake,
Ungemkadiliaje?
 
Kaka vumilia tu,one day yes...!
 
Mzee baba unaweza jipa makonfidence mia kuwa huyu haruki. Ukimuingia salaleeee. Kidume unarudi mdogo kama piriton. Sema kwa kuwa ni pm inabaki siri yenu.
Bro unajua dawa ya haya madhila ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…