Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Ahaahhahaha. Nakua Faza. Nikija nakuja ki utu uzima. Mambo ya ujanja ujnja pembeni. Sema JF mabinti sio wengi. Mtu mmoja anatongizwa na watu 50 sasa kwanini asiwe kiburiUkiruka ruka kama ndama utakula vya mbavu
Wakongwe ni wastahimilivu hawana pupa kama nyie watoto full makelele
Oyaaa wewe vipi mbona kimya
Hizo oya oya zenu sizipendi kama nini
Zungukia kona zote utampata wa kufanana na weweAhaahhahaha. Nakua Faza. Nikija nakuja ki utu uzima. Mambo ya ujanja ujnja pembeni. Sema JF mabinti sio wengi. Mtu mmoja anatongizwa na watu 50 sasa kwanini asiwe kiburi
Haya mambo huwa nayafanya Facebook huko. Unajua huku JF kila mtu ni mjuajiZungukia kona zote utampata wa kufanana na wewe
Humu ni chaka nimekwambia kuna kila aina ya watuHaya mambo huwa nayafanya Facebook huko. Unajua huku JF kila mtu ni mjuaji
Mkuu ID yako sio mbaya utapata vituTubadilishane Id Name Halafu Nione Kama Nitakula Ivyo Vya Mbavu
Sawa boss wangu. Inabidi unipe madini. Unifanyie Consultation. Ntakupa ujira wako[emoji23][emoji23][emoji23]Humu ni chaka nimekwambia kuna kila aina ya watu
No thank youSawa boss wangu. Inabidi unipe madini. Unifanyie Consultation. Ntakupa ujira wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Prove me right...
Mkuu kwanini unakataa tenderNo thank you
[emoji23][emoji23][emoji23]kama kweli vile[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bora mimi mwanamme Mpole kabisa huwaga sisogei kabisa getini
Twende shemelangoja nirudi zangu kapuku nikaongeze likes
[emoji23][emoji23][emoji23]kama kweli vile
Numbisa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
We Binti jiangalie lini mimi nimekuja getini kwako[emoji23][emoji23][emoji23]kama kweli vile
Numbisa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
tangulia shemeji nipo nyumba yako hapaTwende shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama lile la uzi wa make up,halafu anasema yeye mpole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole bana,nikikumbuka maswali yake tata hana hata asilimia moja ya upole