Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa si pakuanzia tu ila muendelezo unakuwa nje ya hapaSasa unafikiri kumtongoza mtu asiejulikana ni jambo rahisi? Inahitaji ushujaa
Mimi natamani sana kubadili ID lakini naona ni kazi ngumu sanaAtakuwa kabadili Id mwambie sio poa.
Hunitakii mema wewe kwa maswali yako.
nilikuuliza swali nzuri kabisa kwanini una post tatu toka 2011?
Hapo pa kuanza na asiejulikana ndio ushujaa huo sina.Hapa si pakuanzia tu ila muendelezo unakuwa nje ya hapa
Nini inaongeza kujiamini?Ila inaongeza kujiamini.
Sasa unafikiri kumtongoza mtu asiejulikana ni jambo rahisi? Inahitaji ushujaa
SawasawaWakongwe wanajiamini zaidi hawa wapya vijana magumashi mengi
Ok karibu tufanye biashara basi....
Mnajuana na fake IDs?Simnajuana kwanza ndio mnakuja kutongozana.
Unajuaje kama ni mwanamke?Kutongoza PM na kumtongoza asiyekujua.
Wowowo old slang Msambwanda new generation slangMsambwanda si wowowo mkuu?
Mnajuana na fake IDs?