Njoo Nikuandikie Tangazo Na Wewe Mapato Yaongezeke Asilimia 102% Ndani Ya Siku 92

Njoo Nikuandikie Tangazo Na Wewe Mapato Yaongezeke Asilimia 102% Ndani Ya Siku 92

Joined
Mar 25, 2026
Posts
12
Reaction score
26
Sio kwa ajili ya kila mtu.

Ni kwa wale ambao umeshajaribu kila kitu. Na bado umekwama.

Kama unahangaika kupata wateja online.

Umetengeneza video yako.

Umeandika caption.

Umeweka pesa nyingi kwenye tangazo.

Na matokeo bado ni hola.

Huu ujumbe unakuhusu.

Miezi mitatu iliyopita kuna mteja mmoja tulimuandikia tangazo lake.

Na ndani ya siku 92 mapato ya kampuni yakawa yameongezeka kwa asilimia 102%.

Na hakuna cha ziada tulichofanya zaidi ya kupigia simu wateja wake.

Na kuwauliza kwanini wanatumia huduma ya hiyo kampuni.

Na kutumia maneno yao kwenye hiyo "marketing campaign"

Huna ya haja kuwa mcheshj.

Au mchangamfu.

Huna haja ya kuonyesha sura yako mtandaoni (ingawa siku hizi kila mtu anasema ni muhimu)

Unachohitaji kujua ni:

  • uoga wa wateja wako (fear)
  • imani walizonazo (belief systems)
  • maadui zao/changamoto zao
  • makosa ambayo wamefanya
  • ndoto zao

Baada ya hapo content zako zote.

Video zote utakazotengeneza.

Mfumo mzima wa marketing mpaka watu wa sales ulenge vitu vitano hapo juu.

Tumeshazunguka sana ofisi za watu.

Kuna kipindi mpaka suti zilikua zinapauka.

ZiInatoa michiririzi meupe.

Mwisho wa siku kila mtu ana:

  • ndoto zake
  • uoga fulani unaomtafuna
  • makosa ambayo amefanya
  • imani fulani inayoendesha maisha yake
  • maadui/changamoto/matatizo

Na kama marketing yako hailengi hivyo vitu vitano hapo juu.

Utajikuta unahangaika sana.

Unatumia pesa nyingi.

Unatumia "agency" za kila aina.

Matokeo bado ni hafifu.

Na ukizingatia siku hizi kodi zinavyozidi kupanda ndio balaa kabisa.

Kwahiyo ufanyeje?

Tupigie simu au njoo whatsapp
0767557419

1. Tuonyeshe tangazo lako
2. Tuambie wateja unaowalenga na lugha wanayotumia kuongelea chagamoto zao
3. Tutafanya review ya tangazo moja tu BURE—na kukuambia cha kurekebisha ila upate matokeo haraka

Kwa watu 10 tu watakaowahi leo mpaka sabasaba

Mapato yako yasipoongezeka ndani ya siku 3 mpaka 30.

Hakuna utakachopoteza kwasababu hakuna hela uliyolipa.

Na mapato yakipanda (hii inategemea kama ukifuata utaratibu hapo juu) ni kwa manufaa yako uendelee kufanya kazi na sisi.

Leo mpaka sabasaba. Kwa watu 10 watakaowahi. Sio kila mtu.

Talk soon.
 
hauna sample moja ya kazi yako tuonyeshe uwezo wako
 
Back
Top Bottom