House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

Ungeweka picha ya hizo nyumba ulizojenga kwa Bei hiyo

nyumba hajajenga yeye, kajenga mteja mwenye nyumba

na mwenye nyumba hajakubaliana na wazo la kubandika picha na michoro ya nyumba yake kwenye mitandao ya kijamii halafu aje aingiliwe usiku
 
Okay nitakuwa pia nawapa ushauri kamanda wangu maana nina uzoefu wa materials nzuri na za kawaida
Weka picha ya kazi yako
sawa Diana
 
He is smart ! Ameainisha yote hayo , !

Sent
 
Kuna Uzi humu mtu anataka kujenga chumba kimoja ana bajeti ya 6milions , nadhani ungemsaidia mawazo haya

Sent
ana bajeti ya 3millions not 6millions kama sikosei na amepata fundi tayari.
 
Fafanua kidogo....hii hesabu inazingatia mji gan? Yaan mfano ni DSm au Kigoma au Mwanza?
 
Mkuu Mr increase number yako nimeichukua nina kakiwanja kangu 30×25 nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha set 4 zenye sitting room,room mbili za kulala,choo na jiko dogo nataka nipabane patoshe naona wewe utanifaa.

Fundi ninaye wewe nitaweza kukulipa kwa ushauri tu hii project ni ya mwakani ngoja nipambane kujikusanya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila la kheri ndugu, karibu na naamini utafanikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…