House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

Acha ujinga mkuu tangu page ya 1 watu wanaomba picha/sampo wewe waleta mambo ya ajabu weka picha kama huna sema
Picha haiwezi kuelezea uhalisia wowote mkuu, cha msingi kama uko seriously ni vyema uonane nae ana kwa ana ikiwezekana akuonyeshe physically na kazi alizofanya then utapata picha kamili, hizi za kuweka humu anauwezo ata wa kuzichota gugoo zenye mandhari ya kibongo bongo na kuzileta humu, jee utabisha.
 
kwa kiwanja cha 30 kwa 25 kama ni vipimo vya mita panatosha kabisa maana ni 750sqm bado unabaki na eneo kubwa la parking na compound nyingine
Mkuu niko dodoma mjini nitahitaji huduma hii mapema. Nakuja Inbox
 
Mkuu Mr increase number yako nimeichukua nina kakiwanja kangu 30×25 nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha set 4 zenye sitting room,room mbili za kulala,choo na jiko dogo nataka nipabane patoshe naona wewe utanifaa.

Fundi ninaye wewe nitaweza kukulipa kwa ushauri tu hii project ni ya mwakani ngoja nipambane kujikusanya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...tunafanana nina eneo la kutosha tu dar es salaam nataka kujenga km viapartment hv
 
Fundi! Nyumba ya vyumba viwili vya kulala kimoja master sebule jiko na choo
Kinaweza gharimu sh ngap?
 
Back
Top Bottom