House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

Wakati nikisuburi sample ya kazi zako hapa, ungeniambia kwa nyumba ya room nne ungefanyaje.
boss tambua kuwa ujenzi sio kazi za kuongeleka kirahisi kama kuna vitu sijafahamu kutoka kwako, lazima tukae tupange na nione vile vile site yako nijue userious wako maana tunafanya biashara na siku zote hizi kazi zina matajiri wasumbufu kupitiliza siyo wote ni waelewa, sasa lazima tufanye mahesabu bayana yakufikirika sio mambo ya rejareja vipimo ndio vinavoamua bajeti siku zote.
 
uko wtsp ?
 
VIPIMO NDIYO NGUZO PEKEE YA KUAMUA BAJETI UKIFANYA REJA REJA NI NGUMU KUAMINI PESA ULIYONAYO INATOSHA AU HAITOSHI KUFANYA UJENZI WA NYUMBA YAKO
 
Mkuu tuoneshe prototype. Mbona wenzio wengi wanaonesha huko mtandaoni. Kuna app ya kufanya designs tu. Onesha muonekano wa kazi itakuwaje ikiisha.
 
Wakuu mko salama!

Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing.

Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor.

Mfano nina design na kujenga nyumba za bei nafuu kabisa.
mfano nyumba ya kulala ya futi 10 kwa 10 ( chumba kimoja ) vikiwa vitatu, kimoja master, sebule jiko, dinning ,public toilet kwa kuanzia msingi mpaka lenta ni shilingi milioni 4,900,000 TZ tu.

NOTE: hii bajeti ni kwa eneo lenye mwinuko tambarare na udongo usio mkorofi kama udongo wa kichanga, pia kwa tofali za kuchoma au za block ambazo sio zile za inch 6 ikiwa ni tofauti na hapo bajeti itapanda kutoka 4.9 .

Na kama nyumba ikipauliwa na kumaliziwa madirisha yenye aluminium na milango ni shilingi milioni 17,900,000 TZ jumla kuu.

Gharama nyingine hazihusiki kwenye bajeti tajwa hapo juu, kama
kupiga gypsum powder,
gypsum body,
skimming, grouting,
tiles building,
sewage system za maji safi na taka pamoja na choo,
electrical suppliances & wiring,
kuframe wallpapers,
Kufunga rain gutters,
makabati ya jikoni na mables plus decorations nyingine hazihusishwi na bajeti ya juu.

Nicheki PM tufanye kazi na nikupatie msaada mzuri juu ya ujenzi wa nyumba yako nipo kwa ajili ya kukusaidia ndugu yangu pale unapoumiza kichwa utaweza vipi kujenga nyumba.

Au nipigie kwa nambari +255 678 502 276

Pia natoa ushauri juu ya ujenzi, usisite kunitafuta pale unapohitaji ushauri.
Ahsanteni wadau wenzangu.
We jamaa hauko serious, unatangaza biashara halafu whatsapp yenyewe umeonekana mwisho tarehe moja June? Hujui kuwa kuna watu wa nje pia wanaweza kuhitaji huduma yako? Nimekimbilia huko nikakuta hola.
 
We jamaa hauko serious, unatangaza biashara halafu whatsapp yenyewe umeonekana mwisho tarehe moja June? Hujui kuwa kuna watu wa nje pia wanaweza kuhitaji huduma yako? Nimekimbilia huko nikakuta hola.
sorry boss nitaweka namba nyingine ya whatsup iliyo active.
 
Hapo msingi hadi lenta kwa 4.9 M paangaliwe vizuri. Kuna vigezo vingi sana inabidi vitazamwe mfano aina ya udongo unapojenga, kiwanja hakina mwinuko upande mmoja au hakipo bondeni? Misingi ya maeneo tofauti itatofautiana kukidhi hivyo vigezo. Bei haiwezi kufanana.
Mbona ameweka wazi pale juu kama ulisoma vizuri. Kaandika kabisa kuwa kama udongo /ardhi sio korofi ya udongo wa kichanga.
 
Mbona ameweka wazi pale juu kama ulisoma vizuri. Kaandika kabisa kuwa kama udongo /ardhi sio korofi ya udongo wa kichanga.

Mkuu, ni baada ya kuandika hapo ndio akaenda kurekebisha. Na yeye akasema alisahau kuzingatia hayo. Nilisoma mstari kwa mstari, nukta kwa nukta mkuu.
 
Acha ujinga mkuu tangu page ya 1 watu wanaomba picha/sampo wewe waleta mambo ya ajabu weka picha kama huna sema
 
Back
Top Bottom