House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

kwa kiwanja cha 30 kwa 25 kama ni vipimo vya mita panatosha kabisa maana ni 750sqm bado unabaki na eneo kubwa la parking na compound nyingine
 
Ninataka kujenga ghorofa ya apartments mbili twin chini na juu. Vyumba Vitatu vya kulala kimoja master bedroom, family bathroom, jiko sebule na dining room. Kiwanja kiko Boko.

Aise nipatie tender ya kokoto mchanga concetre mixer pavers matofali milango kwenye hiyo project yako...mashine zangu zipo tegeta.
 
Mzeeya kajumba ka sevant kota ya chumba kimoja sebule kajiko na toilet inaweza kugharimu kiasi gani?

Ukubwa wa nyumba usiozidi 8 by 8 metres
 
Upo wapi wewe?
Dodoma unapatikana?
 
Mzeeya kajumba ka sevant kota ya chumba kimoja sebule kajiko na toilet inaweza kugharimu kiasi gani?

Ukubwa wa nyumba usiozidi 8 by 8 metres
mpaka kuisha hadi toilet installation ni Tsh 6,500,000 hapo tumepiga plaster na flow ya rough. vitu kama rangi na tiles ni excluded kwenye cost budget
 
Upo wapi wewe?
Dodoma unapatikana?
kwa sasa nipo kilimanjaro boss vile vile dodoma nafika ukinihitaji kuanza kazi, niambie upo dodoma sehemu gani maana nimejenga site kadhaa uko.
 
Ni bahati mbaya hujaposti kazi ulizokwishafanya. Watu tunashida ya mafundi , tungekutafuta.
 
Ni bahati mbaya hujaposti kazi ulizokwishafanya. Watu tunashida ya mafundi , tungekutafuta.
Wakati nikisuburi sample ya kazi zako hapa, ungeniambia kwa nyumba ya room nne ungefanyaje.
 
Wakati nikisuburi sample ya kazi zako hapa, ungeniambia kwa nyumba ya room nne ungefanyaje.
ni wewe na bajeti yako mkuu lakini kwa bajeti ya 24mil. nakujengea unaishi vizuri ni contact nikupe maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…