Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Ulivuruga kwa wema ama ndo ulikuwa unawavuruga dada zako aiseeee,ehee numunilamba wa ku Ndago awee

Hahahahaaa sijavuruga kwa ubaya, si unaona ID yangu. Mzee alikua Mwalimu, enzi za Primary hizo ndio alipita Mseko, Shelui, Ntwike, Tumuli, Malugha, Mukonze..Kinampanda kabla mauti haijamfika. Huko Nkinga nilisoma na kuhitimu elimu ya msingi.
 
mzaliwa wa kijiji cha kiwere,nkakulia vijiji vya pawaga na luganga ndani ya wilaya ya iringa vijijini...nimepakumbuka sana home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…