Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Mkuu umesahau mwasahani, giriku, ikungulwipu, mwamlapa, nkoma, ng'hasha, zanzui, bunamhala, ngeme, mwashegeshi, mwamunhu, nhobora, mbiti, bulolambesi, nyawa, mwamoto, byuna, longalombogo, mwamtani, ngulyati. Mwisho wa yote "Ntuzu original", bhanywaning'we, gosi pye mle bha kaya! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kule kwetu hawajaijua jf nimekodoa macho ka fund saa sion wa kwetu
 
Mkuu nilipita ngeme na mwashegeshi kuelekea nkololo, nguliguli, bushashi nikiwa Na elekea senani
 
Kagongwa mbele kaliwa nyuma, ao kaliwa mbele Kagongwa nyuma inategemea unatokea wapi

-mikononyuma-
kagongwa kulikuwaga na majambazi sn ila hapo kuna rafiki zangu wengi sn kama kina george rock alikuwa mcheza mpira wa hatari
 
angepigwa ban kwa sbb gn ?!!...kwa kumjua kiatu au?!!
 
kama kuna wa "choma cha nkola" anione ndo naita majina hvyo uitike useme jana na leo
 
Mkuu nilipita ngeme na mwashegeshi kuelekea nkololo, nguliguli, bushashi nikiwa Na elekea senani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kazi kweli kweli humu JF.
Ukiweka jina lako hadharani au details zako utajikuta hata watu 10000 wanakufahamu. Karibu sana hommie mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…