Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Maeneo ya 'makutano bar' karibu na Bugoyi Shule ya msingi
Njia inayoingia hapo makutano bar ndo nlikuwa naingia kwenda home. Na gerej ya hapo kando ndo walikuwa mafund wa kausafiri kangu cha miguu miwili [emoji2] [emoji2]
 
Shinyanga moja nimekulia Jimbo la Solwa

Mkuu nimezunguka saana ktk hilo jimbo. Wakati wa kampeni na hivi gari yangu ndio ilikua imefungwa spika na dj natembea nae kwenye gari,Nyimbo za Komba zoote naziimba kichwani nimezihidhadhi zoote[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…