Njoo tuambizane ni nani ungependa kukutana naye

🀣🀣🀣 Anajijua si anaitwa lliedie !! Kakalia mpk seli zangu za damu nampenda mpk moyo unaunguruma jina lake..πŸ˜‚
🀣🀣🀣weeeπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
Usituambie mkuu lliedie huyuhyu ninaemjua Mimi .
 
🀣🀣🀣weeeπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
Usituambie mkuu lliedie huyuhyu ninaemjua Mimi .
Tena kameniroga hako kabinti..πŸ˜‚
Imefika hatua maji naita mma..🀣
 
Tena kameniroga hako kabinti..πŸ˜‚
Imefika hatua maji naita mma..🀣
🀣🀣🀣ohooo

Man downπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ.. again man dauni..
 
Aliyetengeneza Ndege
&
Aliyetengeneza Meli?


Nawaza sana sipati majibu
 
Ningependa kukutana na member wote wa Jamii Forum kwa lengo la kujuana pamoja na kuwajibu maswali yote waliyonayo juu yangu.
 
Ningependa kukutana na founder wa IPhone nimuulize kinagaubaga kwanini aliamua kung’ata lile apple nyuma ya iPhone?ndo hivyo tena haiwezekani [emoji3064]

Dada tutaendelea asubuhi[emoji16][emoji23][emoji23]
 
Ningependa Kukutana na Watu Masikini zaidi kuwauliza wao wanawaza nini ili kujikwamua? Ningefanya sampling kila kijiji ili utafiti huo usaidie kupunguza umasikini wao na kujenga Daraja kati yao na Matajiri.

ILI nao wajione sehemu ya Dunia hii.
 
Ningependa Kukutana na Watu Masikini zaidi kuwauliza wao wanawaza nini ili kujikwamua? Ningefanya sampling kila kijiji ili utafiti huo usaidie kupunguza umasikini wao na kujenga Daraja kati yao na Matajiri.

ILI nao wajione sehemu ya Dunia hii.
sawa mkuu
 
ukikutana na namba moja muulizie kama kuna vichenji. .. utanistua mkuu kama vipo
 
Sasa mkurugenzi hapo una maana gani? Au hili ndilo jibu lake
Kichaa hakufundishwa neno la mungu hadi anakufa!

hata hao mababu hawakufundishwa neno la mungu hadi wanakufa.!

kabla ya musa baadhi ya waisrael waliabudu miungu ya misri.!

musa alipo waokoa.. walipo kua mlimani kuna kipindi waka abudu sanamu.. je mungu ali waua?

Jibu ni hapana alimtuma musa kuwafundisha sheria za mungu (Yehova)
 
Basi kumbe tutakuwa wengi huko
 
Bora una hiyo nafasi wenzako wameihama nchi kabisa hata nafasi ya kuongea hawakupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…