Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Makomando wakiugua huwa hawadungwi sindano za kawaida,huwa wanatumia yale masindano makubwa ya ng'ombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa wewe..Kwanza yale matofali wanatumia huwa wanayatengeneza wao, tofali kabisa lenye ratio mzuri ya cement wale makomandoo kwenye maonyesho anapiga kichwa anazirai hapo hapo.
Umejielezea Bure Bure tuu watu tupo kupiga soga tu hapa. Shinda Maumivu ya kebehiPay respect to your warriors.
Mnakosa kazi za kufanya kuja kudanganyana habari msizozijua kuhusu komandoo na ukomandoo wenyewe!
Najua wengi mnabeza sana jeshi la nchi yenu linaloundwa na ndugu zenu ( watanzania) na kuhusudu majeshi ya mataifa mengine msiyo hata na uelewa nayo.
Ndugu Wanajamiiforums, komaando/komandoo ni askari wa jeshi la nchi ( nchi yoyote Ile) aliyepewa mafunzo maalumu ya kufanya operation za kijeshi kwenye mazingira magumu, kupambana na ugaidi, kuhujumu ngome na vikosi vya adui pamoja na kuvisaidia vikosi vya jeshi.
Kama ilivyo nchi nyingi duniani, jeshi la Tanzania Lina vitengo maalumu vya ukomandoo katika kamandi muhimu tatu;
Yaani 1. Nchi kavu
2. Anga
3. Wanamaji
Wanajitoa katika Hali ngumu ambazo raia wa kawaida ( civilians) hawawezi kufahamu.
Wakati tukinywa bia, shisha na mademu night club, Kuna wenzetu wako makini na mipaka ya taifa hili.
Niwaambie tu, mmewazoea sana hao makomandoo na kufikia hatua ya kuwakejeli mtakavyo labda ni kwa sababu Huwa wanafanya maonesho mepesi ya kimedani kwenye sikukuu za kitaifa.
Hayo ni madogo sana kati ya mengi wayafanyayo. Kuwaheshimu na kuwaombea ni Vema zaidi kuliko kuwadharau na kuwajadili katika namna isiyofaa.
Kufuzu ukomandoo ni kazi ngumu sana ambayo si kila mwanajeshi anaweza kufikia. Ni wiki+ miezi+ na miaka hutumika kumuandaa komandoo.
Wanajeshi wasio makomandoo wanawaheshimu sana makomandoo lakini raia wa kawaida wa jamiiforums anajua kupima hadhi ya ukomandoo kwa mizani yake.
Ni ngumu sana kuwasihi watu wakaachana na mambo wasiyoyajua, hii ni kwa sababu wanataka kujifurahisha na kukejeli watakavyo.
ChaiUnajua zile misheni ngumu ngumu wanazofanya CIA na MI6? Huwa lazima waongozwe na kikosi mojawapo cha makomandoo wa JWTZ.
Hawajawahi kufeli misheni wale, labda waamue kususia wenyewe au kugeukana mzigoni.
Kuna huyu mwamba wakati wa kurudi, baada ya misheni ya usiku kule ME, si akateleza kwenye kamba ya kupandia helikopta.
Basi bwana, unaambiwa jamaa aliogolea kukatiza bahari yote ya pasifiki hadi akafika pwani ya California, na wala hakuwa na vifaa vyovyote vya uogeleaji zaidi ya gwanda zake maalum na silaha nzito.
Baadaye nikirudi, ntaleta picha zake na jina kamili na tarehe ya misheni.
Unasema wale wapasua tofari pale uwanjani?Watanzania tulio wengi ni wajuaji wa vitu tusivyo vijua njooni TUDANGANYANE KUHUSU makomandoo wa JWTZ
Story yeyote ya mtaani uliyoisikia kuhusu wao
Note:motto wao ni
PAIN IS MY MEDICINE
Amphibian are the Best 🤣🤣 Majin na landforce .ChallengeMnachotakiwa kujua 92KJ hakuna MTM
PAIN IS OUR MED
Komandoo Lucas MwashambwaMakondoo wapo na nidhamu, nimeliona hilo kwa makondoo wa humu JF..