Jembebutu
Member
- Feb 14, 2017
- 88
- 225
- Thread starter
- #41
Kwa sasa bado mkuu mambo yangu hayajanikalia sawa kwa ajili ya kwenda huko nina mishe nyingine mpaka niziweke sawa ndio nitaanza kwenda huko.
Asee mi naamini kuna fursa kwenye hizi nchi zenye uchumi wa chini na watu wanazidharau. Mi Burundi ntaenda tu liwalo na liwe. Napenda kupata mwongozo kwa waliowagi kwenda huko kuhusu utaribu wa kuingiza vyakula na ushuru wa mazao upoje.Tafuta sehemu nyingine yakwenda kufanya biashara lakini sio Burundi .....Mimi nipo Kigoma na Burundi tunaenda mara kwa mara lakini sio sehemu salama kabisa na warundi Wana maisha magumu sana asikwambie mtu