Halafu waliokuwa wakorofi sana enzi hizo wengi wao hawakufanikiwa kumaliza shule.Asante Mwifwa...
Kuna watu natamani niwaone sa hii maana wslinitesa sana mimi jamani!!!!
Duuuh samehe tu ni mapito ya utotoYaani usinikumbishe, halafu mie nikafika sec kibarua kikaanza upya... Nilikuwa nalia kila leo nikiwa primary!!!! Halafu yule mwalimu sitomsahau toka darasa la nne mpaka la saba ni mie tuu na adhabu ya viboko juu kisa nilichaguliwa nikalia!!!! Aki P..., Mungu anakuona ila Nshakusamehe!!!!!
Yeah ni kweli wale wanaojiita wababe wa DarasaSitaki kukumbuka kabisa... Kulikuwa na wajamaa wakorofi mnoo!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ule mchezo wa kuweka kioo chini halaf wasichana wakipita unaona mambo sitosahau...siku nmetega kioo halaf akapita mwalimu mkuu
Mungu awalinde tuu huko waliko!!!Halafu waliokuwa wakorofi sana enzi hizo wengi wao hawakufanikiwa kumaliza shule.
Wapo viranja wengi sana walikuwa wanatuonea sana lakini waliishia kuacha shule na wengine waliofanikiwa kumaliza shule hawakufaulu.
Nisamehe siku nyingi mnoo, ila bahati mbaya wengi Sijawahi waona tangu mtihani wa mwisho!!!!Duuuh samehe tu ni mapito ya utoto
Ikawaje?Ule mchezo wa kuweka kioo chini halaf wasichana wakipita unaona mambo sitosahau...siku nmetega kioo halaf akapita mwalimu mkuu
Ipo siku mtaonana maana mi kuna watu tulipotezana nimekuja kukutana nao mtwara tukabaki kila mmoja anamshanagaa mwenzieNisamehe siku nyingi mnoo, ila bahati mbaya wengi Sijawahi waona tangu mtihani wa mwisho!!!!
Hupatani na viongozi kwani na wewe sio kiongoziMimi nilikuwa sipatani hata na kiongozi hata mmoja hadi leo mimi sipatanagi na viongozi wa aina yeyote yule
Sijawahi kuongoza mkuuHupatani na viongozi kwani na wewe sio kiongozi
Kuna mmoja nilimuona ila yeye tulikuwa wote sec... Natamani niwaone wale wa primary wakorofi mnooIpo siku mtaonana maana mi kuna watu tulipotezana nimekuja kukutana nao mtwara tukabaki kila mmoja anamshanagaa mwenzie
Wewe ni kiongozi japo hujui ni kiongozi we ndo kiongozi was familia yakoSijawahi kuongoza mkuu
Ukikuta mtu alikuwa mkorofi sana primary ukimkuta saizi huwezi kuamini unakuta ni mtu mtulivu kabisa tena hana makuu na watuKuna mmoja nilimuona ila yeye tulikuwa wote sec... Natamani niwaone wale wa primary wakorofi mnoo
Kaka mimi sina familia bado kijanaWewe ni kiongozi japo hujui ni kiongozi we ndo kiongozi was familia yako
Bila shaka wewe ni dizain ya wale wanafunzi wasafii, wanajibu kila swali, walimu wote mnajuana, wanoko wanoko kila muda wanaenda staff!Nilikuwa monitor kuanzia darasa la pili hadi la nne then kiranja. Nikawa kiranja tena sekondari mpaka naondoka, nikawa monitor form five na six muda huohuo ni mwenyekiti wa kikundi cha dini.
Kuongoza watu ni kazi ngumu aisee.
Sawa mkuu ila tegemea kuwa kiongozi wa familia yakoKaka mimi sina familia bado kijana
Poa mkuuSawa mkuu ila tegemea kuwa kiongozi wa familia yako
Pamoja mkuu vipi we hukuwa mkorofi darasaniPoa mkuu