Njoo tukumbushane visa na matukio kutoka kwa viranja ,mamonitor wa secondary na primary:

Njoo tukumbushane visa na matukio kutoka kwa viranja ,mamonitor wa secondary na primary:

Yaani usinikumbishe, halafu mie nikafika sec kibarua kikaanza upya... Nilikuwa nalia kila leo nikiwa primary!!!! Halafu yule mwalimu sitomsahau toka darasa la nne mpaka la saba ni mie tuu na adhabu ya viboko juu kisa nilichaguliwa nikalia!!!! Aki P..., Mungu anakuona ila Nshakusamehe!!!!!
Duuuh samehe tu ni mapito ya utoto
 
Nilikuwa monitor kuanzia darasa la pili hadi la nne then kiranja. Nikawa kiranja tena sekondari mpaka naondoka, nikawa monitor form five na six muda huohuo ni mwenyekiti wa kikundi cha dini.
Kuongoza watu ni kazi ngumu aisee.
Bila shaka wewe ni dizain ya wale wanafunzi wasafii, wanajibu kila swali, walimu wote mnajuana, wanoko wanoko kila muda wanaenda staff!
 
Back
Top Bottom