Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Hiyo ni michezo ya SGT's na WO's wasiotaka kuhamishwa au wenye masrahi na hizo KJ's. We angalia utakuta mtu ana miaka kibao bila uhamisho mpaka anakaribia kustaafu.
Kuna SGT mmoja alitemeshwa mwenge nikiwa pale ndio mgeni. Huyu mtata akikuwa anageuka fisi na kusomba mifugo ya wenzake, kuku, bata, mbuzi, kondoo abapita nao. Ila huyu alitemeshwa mwenge ingawa ni kwa ishu nyingine ya kipuuzi sana.

Kuna mwengine naye ni SGT huyu alikuwa anawaingili watu kimiujuza na wengine mpaka kuwa na uwehu hususani waliokinzana naye saba. Huyu ni noma ila naye ameshavua buti mwaka juzi hapo kwa taarifa niliyopewa. Hii hali nimepata kusimuliwa na kuikuta camp mbili tofauti.

WO's wengi niliokutana nao walikuwa na vimbwanga ila vya kawaida, wengi kwa ajili ya ulinzi wao. Ila hawa ma SGT's acha kabisa.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]aisee uliogopa mkuu?
 
Ndoto hiyo.
 

Dah pole sana. Ila nakupongeza kwa ulezi mzuri wa kutopuuzia maneno aliokwambia mwanao na kumconvince akupeleke hio nyumba yake nyingine iliozeeka. Dah.
 
Isije ikawa mtoto alivotoa siri ndo wakaamua kumdhuru, I hope alikufa kwa mipango ya Mungu na sio kwajil ya Binadam waovu πŸ™ nimeogopa mpk nimewasha tochi hapa kitandani sitoizima [emoji22]
sitoizima[emoji23][emoji23][emoji23] daah kumbe waoga tupo wengi. Mimi siwezi kulala giza totoro aisee tangu niko mdogo naogopa giza kama ukoma
Lazima ndani kwangu kuwe na chanzo cha mwanga.

lakini kuna siku huwa nasense tu kuwa leo siko okay nakua na woga tu yani saa ingine hata room zamani nilikua silali natoka naenda kulala sebleni kama niko room ntalala na taa sikuhio ntaangalia movie usiku kucha, na nikipitiwa usingizi ntakabwa mpaka nijute.Nikikasirika nikasononeka vitu vyangu vinavunjika au nadhurika mwenyewe
 
Alivyopokea alikufahamu? Au alikukumbuka?
 

Dah pole sana.. Mimi siogopi giza na siwez kulala na Taa napenda iwe giza totoro, ila mara mojamoja nikipata mshtuko au uwoga wa gafla km jana ndo nawasha Tochi au TaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilishtuka sana kusoma kwamba yule mtoto alifariki Dah imenifanya nifikirie kwamba mambo yalikua mazito sana,

Kwahio na ww ukipata hisia mbaya ukikasirika vitu vyako vinavunjika bila sababu?? Dah sijui kwanini haya mauzauza ya kichawi yapo Africa
 
yes nikikasirika vitu vinavunjika au naanguka naumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…