God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 719
- 1,365
Kuna SGT mmoja alitemeshwa mwenge nikiwa pale ndio mgeni. Huyu mtata akikuwa anageuka fisi na kusomba mifugo ya wenzake, kuku, bata, mbuzi, kondoo abapita nao. Ila huyu alitemeshwa mwenge ingawa ni kwa ishu nyingine ya kipuuzi sana.Hiyo ni michezo ya SGT's na WO's wasiotaka kuhamishwa au wenye masrahi na hizo KJ's. We angalia utakuta mtu ana miaka kibao bila uhamisho mpaka anakaribia kustaafu.
Kuna mwengine naye ni SGT huyu alikuwa anawaingili watu kimiujuza na wengine mpaka kuwa na uwehu hususani waliokinzana naye saba. Huyu ni noma ila naye ameshavua buti mwaka juzi hapo kwa taarifa niliyopewa. Hii hali nimepata kusimuliwa na kuikuta camp mbili tofauti.
WO's wengi niliokutana nao walikuwa na vimbwanga ila vya kawaida, wengi kwa ajili ya ulinzi wao. Ila hawa ma SGT's acha kabisa.