Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Wale ndio wachawi na wazee wa vikosi, sasa wewe toka huko mjini nenda kajifanye unajua kubadirisha utaratibu waliojiwekea enzi na enzi. Kanole mwenyewe alikuwa anawaheshimu sana wale wazee[emoji23][emoji23]
Kanole namuona sana facebook, anapenda sana Fb
 
Labda Kuna mdudu alikua anamtoa bikra mdudu mwenzio, ndio maana dam zilidondoka chini[emoji83]
 
Wengine humu wanasimulia bongo movie ohooo! Wengine wanafanya maboresho ya ndoto waotazo, ila Kuna wakweli haswaa...

Kwenye mamba Wengi hapakosi kenge[emoji120]
Wengine wanabadili sehemu ya matukio wanayosimulia ili wasijulikane. Wanaonfoa vitu na kuongeza vingine ili wafiche wahusika wasimfahamu.... Mtu hadi anafanya hivyo, halafu anakuja mwingine kukosoa siyo poa kabisa
 
Labda Kuna mdudu alikua anamtoa bikra mdudu mwenzio, ndio maana dam zilidondoka chini[emoji83]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ might-beπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜•πŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…