Hapana darasani nilikuta kiumbe aina ya fisi maana mm nimeishi serengeti najua hao wanyama hutumika sana kwa nia ovuI.Huyo mwinjilisti alikushika mkono ndio mkakizunguka kiumbe? Mlikizungukaje kwa kushikana kama ni kirefu
Au alikushika usikimbie akakuachia mkakizunguka? Na hukukimbia tena? Sio rahisi
II. Hao wazee uliowaona bwenini ndio mwendelezo wa ulichokiona darasani?
Tulivyokiona alinishika mkono kwa maana nasiweweseke na kukimbia kutokana na mshtuko na kunipa ishara tukakizunguka kile kiumbe
Kiuhalisia nilitakiwa nimweleze ila nilihisi naweza kuwa nifikra au usingiz ila mwili ulisisimka nikaona ngoja nirud bwenini nisali kwanza ila baada ya yeye kuanguka nikajua haikuwa kuna shida kwelimbn hujasema hicho kitu ulichokiona darasani? na kwann umwache ima aende wkt umeona kitu kisicho cha kawaida
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kiumbe aina ya binadamu ila ni mrefu asie na mwisho eneo hilo kuna miti aina ya girivelia na huyo kiumbe alionekana kupita kimo cha miti hiyo ila wenyeji baada ya kueleza wao wanaita kabhebba very dangerous kama utakutana nacho na ukaamua kukimbia wanasema lazma kikudhuruHicho kiumbe huwezi kukielezea hata kidogo wajumbe tupate haya picha flani kwenye mawazo yetu
Ni kiumbe aina ya binadamu ila ni mrefu asie na mwisho eneo hilo kuna miti aina ya girivelia na huyo kiumbe alionekana kupita kimo cha miti hiyo ila wenyeji baada ya kueleza wao wanaita kabhebba very dangerous kama utakutana nacho na ukaamua kukimbia wanasema lazma kikudhuru
Kulingana na uzoefu wa wenyejiHapo sawa Maelezo yamekamilika ila yameleta swali jingine, kwamba hicho kiumbe ukikutana nacho unachotakiwa ni kukausha kama hujaliona na kuendelea na mambo yako?
Hili nimethibitisha. Wach nitakuja andika hapa niliyoshuhudia wilayani Musoma kipindi nakaa nyarigambaMkuu mbwa na mchawi ni vitu viwili tofauti. Hata wangu waliuliwa kikatili.
Sent using Jamii Forums mobile app
1-Kuhusu Mbwa:Hili nimethibitisha. Wach nitakuja andika hapa niliyoshuhudia wilayani Musoma kipindi nakaa nyarigamba
Wachawi wapumbavu sana.1-Kuhusu Mbwa:
Miaka ya 1998 tukiwa tunaishi nyarigamba brother angu alikua mtu wa club na mashangwe sana.
Siku moja akiwa anarudi home akaokota kitoto cha mbwa wa kizungu (enzi hizo hatujui breed , sisi tunajua tu mbwa wa kizungu) . Akampa jina la BEACH/BITCH kwa kuwa alimuokota akiwa anatoka nadhani ni Palm Beach.
Yule mbwa alikua mdogo ila mtata balaa. Mbwa wa size ya paka ila anakukitia na harudi nyuma. Basi kipindi hicho wanga walikua wanatupa daily visits za kutosha. Basi kale kadogi kakawa kama kikwazo.wajuba wakitimba kinauwasha balaa tunaamka.
Siku moja kakapotea kiajabu, tukakatafuta for two days, chenga. Siku moja kwa wanokajua wakasema wamekaona kwenye pagala karibu na zahanati ya makoko, daah tukaenda tukakuta jamaa wamekapaka mavi ya binadamu mwili mzima. Alafu wamekatoa meno yote mdomoni.
Tulijitahidi kuhudumia ila kalikufa kwa kushindwa kula.
2-Miti kuungua moto.
Usiku tulikua tukienda kukojoa choo cha nje (mana nyumba haikua self) ilikuwa ni kawaida kukuta miti mikubwa ya jirani na home inawaka moto mkubwa kabisaa. Ila cha ajabu asubuhi mti upo green vilevile.
3-sasa kali siku niliyovutwa kutoka kitandani mpaka chini.
Tulikua tunalala mimi na brother angu Niliyemfuatia (Mungu Amrehemu na amuweke pema) sasa kwa uwoga timing ikawa ni kuwahi kulala upande wa ukutani wa kitanda.
Siku hiyo bhana akaniwahi yeye, mimi nikawa ndio upande wa mlangoni.
Movie linaanza kama saa 7 hivi nikasikia Dirisha la Stoo linafunguliwa (tulikua tunakaa nyumba ya mwalimu shule ya nyarigamba)
Kisha mtu akaanza kutembea juu ya mabati na makorokoro yaliyopo stoo. Akaendelea kusogea mpaka akafika coridor ya sebuleni nasikia hatua zake zikiongezeka kuja chumbani. Cha ajabu hapo hata nguvu ya kuita au kupiga kelele sina hapo nimejikunja ndani ya shuka kama korosho
Akaendelea kutembea mpaka anafungua mlango wetu , akaanza kunivuta. Kila nikijitahidi sauti haitoki. Nikapambanaa mpaka bahati sauti ikatoka kupiga yowe akaniachia akakimbikia njia ile ile ya stoo.
Ndugu kuja wakaniuliza vipi nikawasimulia, wakaniambi walisikia zile hali za mabati kugusana gusana stoo ila hawakupata hilo wazo.
Nitarudi tena
Ni wajinga balaa.Wachawi wapumbavu sana.
Umetumia vigezo vipi kujua ni kamba?Duh,ila kuna watu wengine humu wana kamba bwana,ebwana eeh!!!
Ukiwa mtu wa kureason tu utajua kama umepigwa kanzu au laUmetumia vigezo vipi kujua ni kamba?
Una degree ngapi?Ukiwa mtu wa kureason tu utajua kama umepigwa kanzu au la
Kureason hakuhitaji uwe na degree nduguUna degree ngapi?
Maana ku reason vya gizani.. ..ni ngumu kidogo ...
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Inataka kufanana na sleeping paralysis. Aisee hiyo kitu ni noma...Najua umekubali kuepusha ubishi lakini rohoni bado una amini ilikuwa nguvu za giza au mazingara ya kichawi au majini.
Siyo lazima niwe sahihi nadharia yangu, lakini nilikuwa najaribu kuelezea uwezekano wa hilo kutokea kisayansi ya baiolojia, maana sleep walking ni tatizo la kibaiolojia kwamba kuna sehemu ya ubongo wako iliyotakiwa kulala/kupumzika ilikuwa bado inaendelea kufanya kazi.
Ilitakiwa sehemu ya ubongo inayo husika kuwezesha viungo vyako kama limbs zisifanye kazi nayo ilale kama sehemu zingine za ubongo, ibakie sehemu ya ubongo ile ya kufanya kazi za msingi za upumuaji na kusukuma damu.
CC: Carleen njoo unikosoe baiolojia huku, mimi sikusoma kabisa Biology elimu ya upili au kokote zaidi ya shule ya msingi St. Kayumba.
Kwanini tubadilishane ID kiongozi wangu?Mgonga Like kaeni mezani na Ambiele Kiviele mbadilishane hizo ID
Anagonga like kuliko mwenye jinaKwanini tubadilishane ID kiongozi wangu?