Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Kitu kimoja ambacho watu wengi hawajui ni kuwa mganga nae ni mchawi na pale walikua tayar washapangana huko nyuma na hao wenzake ili ionekane imeshindikana lkn la...ni michezo ambayo waganga wengi wanacheza na usipokuwa na akili kubwa huwez ng'amua....lkn duniani hapa tunachezeana sn michezo lkn nguvu yao ni moja hata km watakuja trilion nae ni
Kitu kimoja ambacho watu wengi hawajui ni kuwa mganga nae ni mchawi na pale walikua tayar washapangana huko nyuma na hao wenzake ili ionekane imeshindikana lkn la...ni michezo ambayo waganga wengi wanacheza na usipokuwa na akili kubwa huwez ng'amua....lkn duniani hapa tunachezeana sn michezo lkn nguvu yao ni moja hata km watakuja trilion nae ni Mungu pekeee

uchawi ni elimu nzito Baba mchungaji
 
Kulikuwa na mauza uza gani na upande gani? bwawani, Kota, uwanja wa damu au mahangani? Wanakijiji wa komsanga, kodiwawala, gendagenda na chekereni hawana jipya wazigua wale..
Mgambo JKT kuna wazee walikuwa wachawi hadi wanapelekwa kusimamia mashamba mbali na kikosi
 
Hahaha RSM kipindi hiko alikuwa nani mkuu?
Nimesha msahau kuna mzee mmoja iv alitupigisha kwata ya mwisho kwa macho alikuwa mpole ila maafande walikuwa wanasema uyo mzee ni hatari

Afu wakati tunaingia kikosini kunaafande mmoja iv ni masai, alivotoka kazini kufika kwenye mrango wakea akaona kuna wali umemwagwa kama kuna watu wametoka kula chakula iv (kumbe wachawi washamlia wali ) masikini mzee wa watu hakuchukua mda akafariki
Afu tukio la kuwaka moto hapa jilani na main gate kuna uwanja mbele kidogo kuna msikiti kama unaenda hospital iv
 
Hahahhah huyo huyo afande mmasai anaitwa akonayi
 
Unausemea uwanja uliyopo pembezoni mwa barabara kuu jirani na kilima cha kuelekea main gate. Au ule wa kushoto mkubwa. Ambao kwa mbele Kuna ofisi za utawala
 
Ebhana eeh!! Haya mambo nayasikiaga tu kwa watu.Kwamba wamekutana na hili jambo.Nasikilizaga stori zao then nasikitika nao kidogo kisha najikataa(nasepa).
Kuna hizi stori za mtu kuwa unaongea na mwingine(hasa wa jinsia tofauti) halafu kuja kushtuka kapotea.Au wengine wanasema unashangaa kabadilika kawa wa jinsia yako(Haijanitokea hii).Kwangu siku zote ilikuwa ni theoretical, Sasa Leo nimekutana na practical.
Nilikuwa njiani bhana barabara fulani hivi nzur kalikali.Si nikakutana na mdada ninayemjua.Ninaposema namjua ni namjua kweli.Nilisoma nae,tuko mtaa mmoja.Nikitoka nje ya huu mkoa na kurudi,mara nyingi baada ya kuonana na familia na ndugu basi ninayefuata kumuona ni yeye.So ninamjua sana tu.
Basi stori zikaanza,kama dakika moja hivi.Sasa kwa kuwa mimi ninatembea chap kuliko yeye na yeye pia alidai amechoka,nikajikuta namtangulia kidogo mbele kihatua.Tukaendelea kuongea huku simuoni(alikuwa nyuma yangu).Sasa cha ajabu nageuka sioni mtu.Sikuamini bhana na wala sikutaka presha inipande sababu wengine humu walisema walitoka spidi.Nikatulia nikaangaza,sioni mtu.Baadaye nikawaona masela fulani hivi wanatokea.Hadi wale jamaa wananifikia bado sikuona mtu.
Sasa kinachonishangaza zaidi ni hiki:
1.Barabara ni ndefu haina kona kali kiasi kwamba waweza muona mtu toka mbali.
2.Barabara haina chocho zinazoikatiza kiasi kwamba mtu hawezi deviate akapita njia nyingine sababu njia ni hiyo moja tu.
3.Time interval; Nilivyoacha kuongea naye haikupita muda nikageuka.Time interval kati ya kuacha kuongea naye na kugeuka kuangalia uwepo wake ni approximate dakika 10.Huwezi nitoroka huo muda nisikuone na urefu wa barabara ile labda;
1.Uwe Super Hero
2.Uwe na Super natural powers.

Nilivyofika home nikaamua kwenda kicenter fulani hivi maybe ningekutana naye,holaa.Na ni nadra sana kumkosa maeneo hayo mida ya jioni.Kesho namfungia kazi.

Haaaa, mambo madogo hayo!!, kwani amekudhuru kitu hadi ukamfungie kazi??.
 
Back
Top Bottom