Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji.
Na si kupewa mtaji ili akajiajiri, bali ataajiriwa na mwenye mtaji katika kulitekeleza lile wazo lake, huku yeye akiingia makubaliano ya kulipwa mshahara kwa mwezi.
Karibuni kwa mjadala.