Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

Yani 3m kwa mwezi unataka 300k means unataka hesabu ya 10k per day,sina hata haja ya kukwambia nitaifanyia nini,nipe mtaji huo mkuu nikupe hesabu yako kama unavyotaka either kwa mwezi kama unavyotaka au kwa siku

Uhakika 100% kukaribishwa ofisini kwangu ujue ninachofanya Ruksa ila sio kumwaga hapa,mawazo yangu,mimi ni mchoyo eneo hilo mkuu,Kama kweli upo serious kama nilivyo basi story zote uje ujionee ofisini kwangu,uhakika kwako wa 300k kwa mwezi ni 100% bila kona kona zozote.
Ofisi ipo wapi
 
Nina million tatu hapa nani anaweza kuwa na wazo zuri mwisho wa mwezi awe analeta laki 3
Mkuu, nipangishie fremu, uniwekee ka meza uchwara na ka kiti ka kuzunguka! Itakayobaki iwe mtaji wa Betting! Hakika utaleta mrejesho!

Ikishindikana betting, hela itakayobaki baada ya hasara, naenda kununua codes safi navaa, kisha naelekea mitaa ya mlimani city au telegram kutafuta mijimama, uzuri mkuyenge mkubwa ninao, hence napata mapato kupitia squiting za hao wamama [emoji41][emoji41]
 
Mkuu, nipangishie fremu, uniwekee ka meza uchwara na ka kiti ka kuzunguka! Itakayobaki iwe mtaji wa Betting! Hakika utaleta mrejesho!

Ikiahindikana betting, hela itakayobaki baada ya hasara, naenda kununua codes safi navaa, kisha naelekea mitaa ya mlimani city au telegram kutafuta mijimama, uzuri mkuyenge mkubwa ninao, hence napata mapato kupitia squiting za hao wamama [emoji41][emoji41]
Wee weka mkeka huko pm kwa wiki nzima tuone
 
Yani 3m kwa mwezi unataka 300k means unataka hesabu ya 10k per day,sina hata haja ya kukwambia nitaifanyia nini,nipe mtaji huo mkuu nikupe hesabu yako kama unavyotaka either kwa mwezi kama unavyotaka au kwa siku

Uhakika 100% kukaribishwa ofisini kwangu ujue ninachofanya Ruksa ila sio kumwaga hapa,mawazo yangu,mimi ni mchoyo eneo hilo mkuu,Kama kweli upo serious kama nilivyo basi story zote uje ujionee ofisini kwangu,uhakika kwako wa 300k kwa mwezi ni 100% bila kona kona zozote.
Funguka mkuu
 
Wapo wenye mtaji hununua pikipiki kisha huingia mkataba na dereva kwa malipo kadhaa kwa muda flan ,dereva aktimiza malipo kwa muda huo anabaki na pikipiki, Sasa nilfikiri hiyo Tsh 3m itakuwa kwa muda kwa malipo hayo uliyotaja kwa miezi kadhaa, 🤣 3m itakuwa n
Sihakuele
 
Hiyo mkayba wa dodablda mie naona kama wamnufaisha jamaa zaidi kulikonwewe mwenyewe. Maana hiyo piki piki sii anaitunza vizuri anaitumia miaka mitano. Tena kwa route za dar sii full raha machine haichoki
 
Nilimanisha mikataba kama hiyo yenye ukomo wa muda, muhimu umepata ulichokusudia tukiangalia nyuma tutachelewa fika
 
1. Mradi wa Usambazaji Mayai ya Kienyeji na Kisasa hapa Kariakoo na Viunga vyake (wateja tayari ninao) kazi inafanyika

2. Ni kufungua Fresh mini Poetry farm kwa ajili ya kuuza Kuku, Kanga, bata, njiwa kwale na mayai yao
Hii nitaainisha maeneo ambayo nimefanya maombi kuendesha mradi huu.
Hawa ndege watakuwa wakiuzwa kwa ajili ya kufuga na chakula pia
Kuna Eneo Barabara ya Kuelekeea Uwanja wa Ndege, na Kuna eneo Ubungo(nafuatilia moja wapo)

Watu hapa Dsm wanahitaji sana kula vitu fresh hawaangalii gharama ila uwe na kitu Bora na Fresh kweli.

Mchanganuo wa Biashara utaanishwa endapo tutafikia hatua ya pili ya mazungumzo

Hapa Mkataba si mimi kuwa Mwajiriwa nilipwe kwa Mwezi, Hapana. Hapa unakuja kama Mwekezaji, Business Pertner au Mdhamini wa Biashara na Si Mwajiri.

Niko Kariakoo, mtaa wa Likoma na Magila
+255-767-11-222-1
Twitter @WorldChickenDsm
 
Back
Top Bottom